Recent content by Spinal Health

  1. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Je, Nani anaweza kupata tiba ya Chiropractic?

    Jibu la haraka ni mtu yoyote. Tiba ya chiropractic inasimama zaidi kwenye kinga kuliko tiba, unapata kinga kwaajili ya kuzuia magonjwa ya uti wa mgongo na magonjwa mengi ambatanishi. Ijapokua tiba hii watu wengi wanaitilia maanani wakiwa tayari wangonjwa amabo pengine hata kutembea...
  2. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Karibu Sana!
  3. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Chiropractic ni nini?

    Huduma ni bei moja tu boss, hakuna bei rahisi wala bei ghali.
  4. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kwasasa bado kwasababu tiba ni mpya Tanzania. Hata hivyo bado tunafatilia suala la bima. Lakini kwa sasa hivi, tuna uwezo wa kumpa mgonjwa invoice itakayo msaidia kufatilia malipo yake kwa bima husika.
  5. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Chiropractic ni nini?

    Ni sayansi ambayo ina tibu uti wa mgongo kwaku-focus kwenye ufanyaji sahihi wa kazi wa uti wa mgongo wenywe, nyonga, mpangilio wa pingili za uti wa mgongo (Alignment) na athari zake kwenye mishipa ya fahamu. Tiba hii ya chiropractic, daktari hu-focus kwenye kurudisha mpangilio wa pingili za...
  6. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Chanzo cha tatizo kama nilivosema hapo juu, Msongo wa mawazo ambao huathiri ubongo (Brain) na ubongo huathiri mishipa ya fahamu, na mishipa ya fahamu imepita kwenye uti wa mgongo, kwahivo hiyo ndo cheni. Wakati mwingine ni ajali za muda mrefu, kazi nzito, namna ya ukaaji (Posture) nk. Tiba ipo...
  7. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kliniki yetu iliyopo masaki ina daktari bingwa kwaajili ya uti wa mgongo tu! Kuna vipimo viwili na mazoezi ambayo huwa yanafanyia wagonjwa na husaidia sana, unaweza ukapitia kurasa zetu au ukapiga simu 0768 424 476 kwa taarifa zaidi
  8. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
  9. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la Uti wa Mgongo

    Umepata tiba?
  10. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Ni ugonjwa ambao upo..sema wengi hatuna elimu nao na Pia hatujui wapi matibabu haswa ya uti wa mgongo yanapatikana..
  11. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  12. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
Back
Top Bottom