Recent content by Spina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

    Sijamwona jk akiwa amekunja sura kama leo baada ya hiyo kauli na Wanafunzi kuguna.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete, Wanafunzi 7802 UDOM wana baraka zako, watetee

    " it can't be"!?!?
  3. S

    JamiiForums Tanzania M/Rais Mhe. Samia Suluhu, Hassan ataka Uwajibishaji/Utumbuaji ufuate taratibu na Sheria

    Hakuliona hilo wakati wa katiba
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaongoza Nchi kwa sasa ambapo viongozi wa juu hawapo Nchini?

    Wee abaki ntu anipiku
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM wamekosa pesa za kuandaa mkutano mkuu?

    Chama kikomunist cha china kitasaidia
  6. S

    JamiiForums Tanzania VIAPO VYA WATENDAJI: RC Makonda, buni vyote lakini usibuni sheria

    Ukitaka jamii itekeleze jambo fulani ni lazima utafakari kwa kina na kujiridhisha kama jambo lenyewe linatekelezeka. La sivyo matamko mengi ya mambo yasiyotekelezeka huifanya jamii kuyadharau na kumdharau mtoa matamko
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wahariri na waandishi waanza kuonja machungu ya mabadiliko ya Kisiasa

    JPM anasubiri kuchukua uenyekiti wa Chama ndo Watatambua direction anayotaka kukipeleka chama na serikali. Alivyochagiliwa wengi walifikiri ni mtu wa business as usual. Huwa anamaanisha analolisema na kusimamia analoliamini na pia hufanya research ya kutosha kabla ya kutoa uamuzi. Na hapendi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

    Nondo za 1.2trillion zapelekwa kwa mwepes
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa TAKUKURU: Rushwa mahakama ya Kisutu inatisha

    Kiuhalisia MD au CEO hawezi kutoa kazi kwa kampuni yoyote. Kuna tender board ndo inatoa kazi. Kwa hiyo ni ngumu sana kumuhusisha CEO directly but tatizo hapo ni conflict of interest ambayo takukuru wameshindwa kuthibu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga atajwa kuhusika na kashfa ya ufisadi katika Jeshi la Polisi ya sh. bilioni 34

    Huwezi kuchukua hela kabla hujafanya kazi. Contracts zote huwa contractor analipwa kwa kazi aliyofanya. Hivyo hakuna sababu yoyote inayoweza kutolewa kwa kutoweza kukamilisha kazi. Waliolipa hizo fedha na waliolipwa wote wame wamefanya kosa la jinai.
  11. S

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Wanawapeleka kuzuia mjadala bungeni
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Kim il un
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwamvita Makamba: January hahusiki na kashfa zinazosambazwa mitandaoni

    Kwa nini hii issue imeibuka tu baada ya kulazimishwa kujaza fomu za maadili
Back
Top Bottom