Recent content by Spesho Kabwanga

  1. S

    MeTL wakanusha kukamatwa kwa sukari iliyofichwa

    inawezekana kwa mwezi mzima TFDA walikua wakiikagua sukari hiyo na kimsingi ikawa imeingia kihalali ila kwa serikali kuzima temper za wananchi ikabidi waseme wamekamata sukari iliyofichwa. lakini jambo la kujiuliza ni kwanini kibali cha ukaguzi wa sukari kimetoka may 7 siku ya jumamosi ambayo...
  2. S

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    huu mtindo wa kucheza na akili za wananchi sio mzuri kabisa... najua ilikua ni mpango wa kupunguza temper za wananchi ili kuisafisha serikali. nonsense
  3. S

    Zijue hatari na changamoto za daraja la Kigamboni kabla hujalitumia

    umefikiria sang brother... ni changamoto zinazoonekana lakini hazikufikiriwa.
Back
Top Bottom