Sorry mkuu, ndio maana nikasema "au sijakuelewa?"
ila kweli, kwa sasa hatuwezi kui compare mitikaz na amazon... Lakini sidhani tutasema the same thing in the next 5 years... Mungu awajalie tu, ili na sisi wabongo tuonekane kama nasi tumo kwenye mambo ya IT...
In a wrong way kivipi?
Mimi I am impressed nao hawa vijana, kama wana plans za kuiweka Tanzania kwenye map na mambo ya IT, sio kila siku umasikini ukimwi na rushwa tu...
au sijakuelewa?
Amazon wapo juu ki-volume na popularity kwasababu wameanza mda,
lakini kwa ninavyofahamu, amazon.com ni marekani tu, amazon.co.uk ni uingereza tu, n.k.
ni kwa nchi kama 10 au 15 wanaopata huduma zao, na wakitaka kufungua mtandao mwengine,
nilazima wa sajili domain nyingine (kwa mfano ingekuwa...
Kwanini mimi ninahisi hivyo?
Sababu:
(1)
ukiingia mtandao huo ( mitikaz.com ) unapelekwa kwenye sehemu ya kuchagua nchi,
(2)
lakini nchi karibia zote hazina bidhaa ya kuuzwa, kasoro Tanzania, na kidogo Afrika ya kusini
(3)
kupitia huduma ya "who is" (inayochambua kujuwa mtandao unatokea wapi)...
No, I believe it is you who is wrong.
The UK speed limit is 70 mph (miles per hour, not kmph) - which when you convert to kmph (1 mile = 1.6 km approx) you actually get around 115 kmph, which makes him (t blj) absolutely correct.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.