Recent content by Spellbinder

  1. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ni sikukuu au ni siku ya kazi?

    Naomba kueleweshwa hapo wadau wa JF. Kwa maana nimeona baadhi ya taasisi watu hawaingii kazini siku ya ijumaa kuu. Lakini kuna baadhi ya kampuni watu wanaingia kazini kama kawaida na hawalipwi stahiki zao.
  2. Spellbinder

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nilivyosafiri, wife alichepuka

    🤣
  3. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Magereza kuna nini ambacho kitamfanya ajute? Maana kazi yoyote ile bila passion lazima utaiona ngumu.
  4. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwamba walioko hapa wanalilia ajira ni vilaza! Tuwe makini na maneno tunayotumia. It's just a polite reminder.
  5. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yani me ndo najipanga hapa kesho nitume maombi huko polisi
  6. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wewe ndo una mteru kaka. Tangazo ulilisoma vizuri? Unatakiwa kuwa na afya njema iliyothibitishwa na daktari wa serikali.
  7. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu naombeni mwenye uelewa kuhusu kipengele cha kuthibitisha afya ya mwili na akili anieleweshe. Fomu inayotumika ni ipi na inapatikana wapi?
  8. Spellbinder

    JamiiForums Tanzania SoC02 Malalamiko na Mafadhaiko hayatabadili Maisha yetu: Somo kutoka kwenye TOZO na Kupanda kwa gharama za Maisha

    Habari yako mpambanaji mwenzangu?. Karibu katika makala hii inayohusu kupigana vita ya kuyasaka mafanikio. Labda kwa ufupi ningependa kukumbusha kuhusu Maisha. Wakati kila mtu ana namna yake ya Kuyaelezea maisha, kwangu mimi, Maisha ni kama vita. Usipojiandaa vema kupigana, maisha yatakupiga...
Back
Top Bottom