ndugu watanzania wenzangu wenye wenye vyama na msio na vyama ,tunaomba mtupe nafasi mioyoni mwenu ,sisi htujamkosea mtu yeyote ,kudhuru ,wala kudanganya umma wa watz ,hatusemi haya kwa kujitetea maana ninyi mu mashahidi wa mambo haya tangu kiti cha spika,serikali hadi kwenye dola yao mwaona...