Recent content by Speaker

 1. Speaker

  Nini kilikusaidia kupata kazi?

  Lesson nzuri sana hii brethren.
 2. Speaker

  Vita ya kudai Katiba Mpya ipiganwe na Wananchi wote wasiachiwe CHADEMA tu

  Hakika, ni kwa manufaa ya kila Mtanzania, ila kama kawaida yetu, tunataka kukuta chakula mezani bila kuki hangaikia.
 3. Speaker

  Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

  Pages zote nime pitia nikijua nitakutana na jibu la alipo Mheshimiwa, ngoja niendelee kumtafuta.
 4. Speaker

  Ulimwengu: Utawala wa Magufuli na vita vya mtu mmoja

  Hii safari ina furahisha. Ni vyema kusubiria ladha ya vituo vyake vyote.
 5. Speaker

  Gharama ya kutengeneza kisima Dar

  Bro,4.5m ni gharama ya kisima kimoja. kimoja nyumbani kingine shambani,so jumla ni 9m. cha nyumbani kina urefu wa 65m na shamba ni 80m, Cha muhimu sio kuangalia urefu ila upatikanaji wa maji eneo husika. jirani yangu yeye alitaka mita 100 kama condition kwa mchimbaji na alicho ambulia ni maji...
 6. Speaker

  Gharama ya kutengeneza kisima Dar

  haha,kumbe wali niibia kauli mbiu yangu. Nilichimba mkuu,sasa viko viwili,vyote gharama ilikua 4.5m
 7. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Ujanja mwingine wa ORYX kama wawekezaji. (Na hili linaweza leta ugumu sana kwenye kuuvunja mkataba na wao) wame chukua eneo la nje ya Tiper, hati ikatoka kwa jina la Tiper kama mmiliki, lakini ORYX ndiye anaejenga Gas plant kubwa pale. Eneo lina ekari karibia 20. Hapa Serikali itapata faida...
 8. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Sijaelewa. Lakini kila aliyekuwa akinyanyua mdomo tu alikua ananyamazishwa fasta sana. Nakumbuka Simbachawene alivo ambiwa kuhusu huyu mtu wa ikulu (June 2015) alionesha kufahamu huyo mtu na akasema ni mtu mdogo sana. Saivi hiyo nguvu toka ikulu nadhani ime punguzwa. Ngoja tuone kama hisa...
 9. Speaker

  USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

  Meli Tani 150000 inaingia KOJ????? Kunaweza kua na ukweli ila umepika vitu vingine. Tukianzia na hilo.
 10. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Kinachoitwa wizi wa ORYX Infact sio wizi. Ni ujanja tu wa ORYX kwenye mkataba wao. Waliingia mkataba kwamba serikali ni 50% na Oryx ni 50% lakini oryx wanaendesha shughuli za kila siku za kampuni. Ujanja wanao fanya oryx ni kutunza mafuta yao mengi Tiper na kwa storage fee ndogo kuliko...
 11. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Mamdenyi huo mchoro unaficha details nyingi sana. Aliyetoa mchoro huo ndiye Aliyetoa ruksa Tiper kuunganisha Junction hiyo. Na ni toka enzi za Tsunami iliyo haribu mabomba mengi bandarini. Tatizo yeye kapoteza reference zake. Wenzake wanazo.
 12. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Tatizo la viongozi wetu ni kuamini sana Habari na kuto zifanyia utafiti, maamuzi ya haraka ni mazuri sana. Tena tuna yahitaji. Tunatamani sana Oryx anyang'anywe shares zake, maana wameitapeli mno serikali kwa kusinzia kwake na wao wanaitumia kibiashara. Lakini si vyema kudharau vyanzo valid vya...
 13. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Kwanini T-junction iliyopo Tazama. Ambayo na Mh MAJALIWA anaamini sanaaaaaaaaa ilijengwa? T-junction ya Tiper ilikuwepo toka mwaka 2009. Hii wanayo iamini imejengwa 2014. Kwanini hizo kampuni nilizo zitaja hapo juu hazi kuunganisha kwenye Junction ya Tiper na badala yake wakajiwekea manifold...
 14. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Mchoro walio utumia TPA kuwapa jamhuri wa publish ni ujanja tu wa kuficha mududu yao. Lakini njia ya muongo ni fupi sana. Kwenye mchoro hawakuonesha T-junction iliyopo ndani ya Tazama. Junction Ile ndio iliyotumika / inayo tumika kuiba mafuta kweli kweli. Haswa meli ikiwa ina discharge kwenda...
 15. Speaker

  TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

  Uonevu lazima uishe. Watu wasiwe mbuzi wa kafara. Wezi wa mafuta wanajulikana. Waliozuia flow meters zisifanye kazi wanajulikana. Hakuna kitu kama "Tiper kujiungia bomba kwa ajili ya kuiba mafuta ". Tiper haiagizi mafuta. Ni kweli Oryx wanainyonya serikali kwenye uwekezaji wao Tiper. Sababu...
Top Bottom