kuna kipindi flani code zilikuwa nyingi hivi hivi ghafla huyu hapa. nahisi na wakati huu mchezo ni ule ule. ninachojiuliza kwa nini wanafanya hivi? wanataka kugundua nini?
fanya majukumu yako na angalia namna uhame hapo tena hama nchi kabisa Tanzania hali hiyo utakutana nayo kila mahali. kama inakukwaza angalia namna ya kutoka nje ya Tanzania ukumbane na changamoto za aina nyingine. INAWEZEKANA KABISA
Dunia haijaishia kwenye hiyo ofisi pekee.
ndugu kwa heshima nyingi, kama wewe ni mwanaume namsikitikia kwa machozi mke uliyemuoa kwa hii definiition yako ya "good woman" na namsihi Mungu awaepushe mbali watoto wangu wa kike wakati wao wa kuolewa ukifika na kama yesu atakuwa bado hajarudi Mwanaume mwenye hii mind set asiwakaribie kamwe...
basi sawa tuseme wanawake wa kichaga hawafai na tuseme marehemu alikuwa sio good woman na sawa kabisa tukubaliane na wewe kuwa kukaa na binti wa kazi sio miaka nane tuipunguze tufanye mitano sio kipimo cha kujua uzuri ama ubaya wa mtu au uvumilivu wa mtu . hata tukimpa sifa mbaya zote zilizopo...
kitendo alicho kifanya ni cha kipumbavu kuzidi upumbavu wenyewe. very cowadly act. yani unaharibu maisha ya watoto wako sababu ya ubinafsi na upumbavu ?
au ukitafuta boda ya hesabu kwa wiki ili udunduluze mtaji ukuekue?
au uuze mitumba vyuoni?
au uuze matunda
au uuze mayai ya kuchemsha?
au ufanye content badae uje ufanye biashara za online kama matangazo, mafunzo mbalimbali ama bidhaaa
ndugu zangu hata ikitokea trump akaslimu, haibadilishi ukweli. Ukweli ni ukweli na ukweli hata ukiuficha vipi ni tabia yake kujitenga na uongo na ukweli wala hauitaji kutetewa huwa unatabia ya kujitetea wenyewe . kama unachokiamini ni kweli basi ipo siku ya udhihirisho wake. siku hiyo...
sidhani kama kuna mtu amechanga anafanya maigizo ili auridhishe ubongo wake kuwa anapendwa na watu wanaweza kumchangia alipe kodi. au kuna mtu anataka kumuaminisha kuwa anapendwa sana moitandaoni ili ampige hela . mtanzania wa kuchangia kodi kwa mtu kama diva hayupo miaka hii ambayo kila mtu...
Jamani atleast tusile wanyama ambavyo wanakula binadamu wenzetu kama nyoka, mamba na wengineo. mnaokula hayo makitu hivi hamuoni kama mnakula binadmu wenzenu?
mkeo kukuuliza hilo swali sio kwamba hakupendi au hajitambui. ni anajitambua sana tu na huo ni mtego. anataka uhakika na anataka kuona kama kweli ana mume ambae anaweza kumwamini na kwa asilimia ngapi anaweza kukutegemea kama mwanaume katika familia.
mfano ungemwambia "mke wangu usijali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.