Recent content by sozzy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    nijambo la kushangaza mtu kama mzee mtei mwasisi wa chama,mlezi wa chama na ndio alieandika katiba ya chama kwa mawazo yke na yawengine..leo anadiliki kuisigina katiba yke kwa kusema KAMATI KUU Ndo yenye maamuzi ya mwisho nini kuhusu BARAZA KUU nikwamba hajui au ndo msemo chama chake nayeye ndo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

    s.kuwayawaya,garinoma,majiyatanga,tuntemeke,makolokolo hao nibaadh ninaowakumbu.w/mkuu alikuwa j.malecela katibu mkuu alikuwa H.Kolimba
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Arusha Mkutano wa Chadema, Hivi Mbowe alidanganya umma au Ulikuwa Mtaji wa kisiasa?

    kwa serikali hii kamwe haitaunda tume ya kijaji,mheshimiwa sana ili atuaminishe aipeleke afrika court au amnest international ukweli uonekane............. Vinginevyo kama ngumu atuletee huku vibanda umiza tuangali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Petition ya kuomba Kagasheki arudishwe kazini tayari iko mtandaoni

    kagashek alifit ktk wizara,na anahitajika mtu kama yye kwa walevibaraka wa mafisadi wasingependa aonekane
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM, CHADEMA, TLP, CUF kufanya mkutano wa hadhara wa pamoja wa Maridhiano Arusha

    sijambo baya kwa vyama kukutana ni jambo la diplomasia,lakini kwa siasa za vurugu ni jambo baya....mbona TCD wanakutana..!?
Back
Top Bottom