Habarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati sahihi wa mimi kuja kwenye jukwaa hili kutafuta mtu yoyote atakae hitaji kununua bata hawa, ninao madume...
Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo:
Iphone 7 plain
32 Gb
Ram 4
Battery 100%
280k price, fixed...mawasiliano ni haya 0621599120
Habarini za muda huu wana jukwaa,,mhusika wa hii account nafanya biashara ya kuuza mayai ya kienyeji kwa bei ya rejareja kwa maana ya kwamba kwa sh.15,000/= tu wajipatia trei moja ya mayai, napatikana Dodoma na kwa mawasiliano zaidi piga 0621599120 karibuni sanaa!
Habari za muda huu wana jukwaa?
Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions!
Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=).
Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!
Mkuu mm Nilichukua Samsung galaxy grand prime+ huku Dom kwa 280K ,,,Dar nikaulizia kweny duka moja pale Msimbazi street wakanambia bei ya kuuzia ni 250K...Dom bei ya kuuzia ilikuwa hyo 280K!
Habarini muda huu wana jukwaa.
Lengo na dhumuni la thread hii ni kuwajulisha wale wote walio na uhitaji wa kutumia simu janja aina ya Infinix hot 10 huu ndio wakati wao.
Simu ni used kwa muda wa miezi minne na ipo katika excellent conditions.
Specifications zake: Ram ya 4, Storage ya 32...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.