Leo kwa mara ya kwanza nahisi naishi duniani baada ya recovering ya corona.
Nimeugua sana kwa week mbili, ombi langu kwenu wote kama una magonjwa kidogo kama BP, Sugar, TB, HIV nakadhalika, jitahidi kwa nguvu zote kuiepuka Covid19.
Yaani hakikisha haikupati ndugu yangu
Kwa mtazamo wangu tume huru inaweza kupatikana bila katiba mpya, namaanisha kwamba swala la katiba ni ngumu na CCM hawapo tayari bora mapambano yaelekezwe kwenye tume huru, linaonekana ni jambo dogo lakini litaleta mabadiliko makubwa.
Tumefatilia suala la Ole Sabaya kwa undani. Alichaguliwa na mamlaka za teuzi zilizochaguliwa na wananchi.
Tatizo lililopo Tanzania kwa sasa sio wakuu wa Mikoa au wilaya, tatizo ni kupata viongozi wanaostahili kuongoza nchi kwa mujibu wa uelewa wa Watanzania.
Manake ni kwamba kabla hatujachagua...
Musk at the Royal Society admissions day in London, July 2018
Born
Elon Reeve Musk
June 28, 1971 (age 49)
Pretoria, South Africa
Citizenship
South Africa (1971–present)
Canada (1971–present)
United States (2002–present)
Alma mater
University of Pennsylvania (BS and BA; 1997)...
Elion Musk anaheshimika sana na ni mzaliwa wa hapo Pretoria,tatizo unaweza kuona kuwa haeshimiki kwa sababu south Africa ina mabilionea wengi sana na nchi ina uchumi mkubwa,jambo moja nataka ujuwe ni kwamba kwa south Africa huwa hawana ile hali ya kuheshimu matajiri kama huko Tanzania,unaenda...
mkuu kama nilivyosema mimi nadeal zaidi na business zangu ambazo hazina uhusiano wowote na namba 26,
nimeamua kuja hapa kwa sababu nimeamua kusaidia kutoa information kwa watanzania wenzangu ambao wanahitaji,sasa ukiona nashindwa kujibu swali lako nikanyamaza naomba uheshimu kwa sababu hiyo ni...
karibu sana mkuu,mimi naahidi kukupa full information bila kupindisha kwa kuwa nimeishi miaka mingi na najua vichochoro vyote,jambo la muhimu kuwa na roho ngumu hakuna kujali wala kuogopa chochote,uoga wako umaskini wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.