Recent content by SOWETO MAN

  1. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

    Upo serious kabisa na umemaliza na neno "Amen" kabisa?
  2. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Zimebaki chini ya lita 2000 tu , asanteni kwa wote mlio nifikia 🙏
  3. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Mkuu nashukuru kwa mchango wako huu 😅, ila mimi nacho ona hapa sio kwamba ifanikiwe kwanza biashara ndio tukae chini?😁
  4. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Hii ni njia naitumia pia ila kwa conditions maalumu.
  5. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Hii ni bulk zipo sealed kwenye pipa za lita 1000
  6. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa mvinyo wa Dodoma (wine) kwa Bulk purchases only

    Habari za muda huu wana jukwaa? Mimi ni mjasiriamali mdogo naji husisha na biashara ya mvinyo halisi wa Dodoma. Nina lita 3000 za mvinyo ninazo ziuza kwa bulk PURCHASES only Mvinyo huu una umri wa miezi 8 sasa na kwa kila lita nauza kwa sh. 4500/= Karibuni sana!. Kwa Mawasiliano zaidi : 0621599120
  7. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza mchuzi wa WINE(MVINYO) kwa bulk purchase only

    Habari wana jukwaa, Mimi ni mkulima na mfanya biashara mdogo wa zao la zabibu na mzalishaji pia wa wine..Nina habari njema kwa wale wanao hitaji kununua Mchuzi wa Wine(Mvinyo) halisi wa Dodoma wenye umri wa miezi mitano (5) sasa ..kwa kiwango cha kuanzia lita 500 na kuendelea kwani nauza kwa...
  8. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Hapana ndugu, hizi zipo pure kama zilivyo.
  9. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Sawa mkuu.🙏
  10. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Ndio unaweza mlipa bila shida yoyote ile mkuu.
  11. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Shukran sanaa ndugu kwa ufafanuzi huu ulio shiba!. Faida yake kubwa mwilini ni kusaidia mmeng'enyo wa chakula lakini pia ni kiburudisho ikitumiwa kwa kiasi
  12. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Shukran sanaa ndugu kwa ufafanuzi huu ulio shiba!.
  13. SOWETO MAN

    JamiiForums Tanzania Nauza wine kutoka Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, 3 na 5

    Lita yoyote ile ina percentage ya alcohol inayo fanana (uniform), kwa bidhaa yetu ina alcohol percentage ya 14 hivyo basi haijalishi iwe ni nusu lita au lita 5 zote zina alcohol percentage ya 14
Back
Top Bottom