Natafuta mume kuanzia miaka 40 43 muislamu amejiajiri au muajiriwa mwenye hofu ya mungu
H.I.V anaejali afya yake na anamuonekano mzuri
Ambae anahivyo vigezo aje pm
Binadamu mmekua ni wanyama sana utu umepotea kabisa ndio mana dunia imekua sehemu ya shida na mabalaa....yaani unawaza kuharibikiwa biashara yako na wala huwazi kwamba unamuharibia feauture mtoto wa watu kwakua yeye anamatarajio na ww unamuona kama toi ambalo halina maana ...siku akigundua...
Kumbuka dhambi ya zinaa ni deni unachokifanya kwa bint wa watu tena uku ukijisifia kabisa huna mpango nae...elewa kwamba na ww utazaa mtoto wa kike akija kulipa deni lako usije ukatafuta mchawi ukumbuke matukio yako ya haya machafu unayojigamvmba nayo leo kwa kitoto cha watu.....siwezi kumlaumu...
Ninachotaka kukushauri ndg yangu zambi huwa ni deni lazima irudi kwenye kizazi chako au kwako mwenyewe binadam hua tunaogopa watu kuliko mungu bila kujua mungu ndio anehukumu maisha yetu na ndio alieyashikilia na mungu huwa hafichwi.....haya tunayoona yanatokea leo kwenye jamii ushoga usagaji ni...
Ndoa ya kiislamu haivunjika kwa mwanaume kua mbali na mke wake miaka mingi na kisheria huyo mwanamke anamakosa yakuzini akiwa mke wa mtu...alichotakiwa kama alikua anaona hana mapenzi tena na huyo mwanaume basi awataarifu familia washenga au aliemuozesha kwakudai talaka na kama mwanaume hajaweza...
Asili ya dunia sio sehemu ya starehe ndio mana aso hili analile hamna ambae yupo comfotable katika haya maisha ya dunia....kabla yakukimbizana na vitu vya dunia kwakudhani ndio furaha yetu..tujiulize tuliletwa hapa duniani kwa ajili gani?? Kiillslamu tunaambiwa tumeletwa kwa ajili ya ibada na...
Kwaio unadhani vyote vilivyoumbwa dunia viliumbwa bure ikiwa pamoja n ww yaani mama yako akuzae kwa tabu uje duniani ukute bahari mbingu mvua jua usiku mchana alf uishi unavyotaka ww kwamba hamna anaemiliki hii dunia na wala hamna sheria na ukifa ndio mwisho wa maisha yako inaingia akilini...
Wanawake wa duniani nao kama walikua wacha mungu ambao watafaulu kupata pepo basi huko peponi watakua wapya mabikira na watakua wazuri kuliko wanawake wa peponi na kama waume zao nao wamejaaliwa kuipata pepo basi watakutanishwa tena peponi kama mke na mume tena japo mwanaume atakua na wanawake...
Yaani ww juzi umesema unaswala swala 5 nikaona ni mtu mwema u aemtii Allah leo unaandika kataa ndoa hujui ndoa ni ibada pia tena iliyowekwa na Allah kwa jinsi ya maumbile yetu alivyotuumba...uoni ukisema kaa ndoa unampinga mola wako kwakule alichokiamlisha......matatizo hayakimbiwi mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.