Nataka kuvunja ndoa yangu na ndoa ya baba mkwe, naomba ushauri wako kabla janga halijatokea

Hizi mambo kwa mtu muelewa anajua kabisa tunakoenda ni wapi.

Huwezi kuchart na mama mkwe makopa kopa halafu mtu mwenye akili timamu useme eti ni kuzoeana.

Ukiona texts zako na za mama mkwe wako mkeo hawezi zisoma basi ingekomea hapohapo huo ubazazi.

Na huenda una mahusiano nae tayar.
 
Mrejesho wa huu uzi tafadhali! Nini kilitokea?

Maana ni miezi takriban mitano imepita
 
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoeana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequency ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwenye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!

2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!

3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!

4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!

5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?

6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?

Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimejaribu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana.

Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:

1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?

2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?

3. Ndugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia, ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!

Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
Aisee
Umeisimulia hii kesi hadi sisi wazee wa Cuba tushapiga mstari kuwa umeshamla mama mzaa chema.

Enewei, mwenye shida ya kwenda Mbinguni ni wewe, sisi tunachojua ni kwamba umemka bibie na umegundua ni mtamu kuliko mkeo. Kikawaida kadiri mwanamke anavyoongezeka umri baada ya 43 eneo la utekezi linakuwa tight na mnato uliomakinika.

Ah wacha niishie hapo
 
Acha kutazama sinema za ngono zinazoakisi maisha halisi ya wale wajaa laana wazungu a.k.a watasha

Maisha ni mafupi, mkumbuke mola wako.
 
Ninachotaka kukushauri ndg yangu zambi huwa ni deni lazima irudi kwenye kizazi chako au kwako mwenyewe binadam hua tunaogopa watu kuliko mungu bila kujua mungu ndio anehukumu maisha yetu na ndio alieyashikilia na mungu huwa hafichwi.....haya tunayoona yanatokea leo kwenye jamii ushoga usagaji ni mambo yaliofanyika kwa siri mnoo lkn leo hii kizazi kinalipa deni tunasema dunia imekwisha wakati tulianza kuimaliza wenyewe na vitendo vyetu ...sasa hilo ulilofanya ndugu yangu usipotubu na kuliacha kabisa kwa ajili ya Allah basi utakumbuka hii msg yangu baada ya miaka 20 kwakitachotokea kwenye kizazi chako laana umeianza mwenyewe
 
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo inanipatia kipato kizuri tu...Kwa kifupi, pesa kwangu siyo tatizo sana.

Pia nina mahusiano mazuri tu na ndugu zangu wa pande zote (upande wa wazazi wangu na upande wa wakwe zangu). Namshukuru Mola pia wazazi na wakwe zangu pia wamejaliwa kipato (wanajiweza...siyo tegemezi), hivyo wametupunguzia mimi na mke wangu mzigo wa gharama (kuwahudumia).

Nimetokea kuwa na mahusiano ya karibu sana na MAMA MKWE wangu, alinikubali sana tokea nilipomchumbia binti yake. Na baada ya kuishi na binti yake kwa muda kwenye ndoa yetu, mama mkwe alizidisha kunikubali na kunipenda zaidi (kwa kifupi mke wangu huwa nampenda na kumjali sana... I'm a caring & responsible husband). Mama mkwe amekuwa akinisifu mara kadhaa kwa namna ninavyoijali familia yangu, na ninavyomjali yeye pia.

Kwa kipindi cha miezi michache iliyopita, tumetokea kuzoeana sana na mama mkwe wangu, na ukaribu baina yetu umezidi kupita maelezo. Imefika hatua frequency ya mawasiliano kati yangu na mama mkwe imezidi hata ile ya mke wangu. Na hapa ndio mwanzo wa changamoto yangu hii, ambayo imenifanya nije kuomba ushauri wenu.

Kutoka na huu ukaribu uliopo baina yetu, imefika hatua mimi na mama mkwe ni kama washikaji tu! Utani baina yetu ni sehemu ya maisha. Huwa hachoki kunisifia, mara utamsikia akinisifu "U r a real gentle man, handsome and caring daddy..binti yangu anaenjoy kuwa na wewe...huwa ananiambia!" "I love you my handsome baby...! Haya ni baadhi ya maneno ambayo mama mkwe amekuwa akiniambia...akinimwagia sifa! Zaidi ya yote, ma emoji yenye makopakopa kwenye chats anazonitumia ni kama yote!

Na mimi huwa najibu mapigo kwa kumsifia pia "Mom nakushukuru kwa kunizalia binti mrembo...mke wangu, Mola amekujalia umefyatua chuma kikali kama wewe mwenyewe vile/photocopy yako...! Akacheka kidogo na kunijibu "Thubuti! Kwangu haingii hata nusu...unanionaje my handsome baby?...Urembo alionao mke wako ni robo tu ya urembo wa mimi mama yake, hata nusu hajanifikia!" Ni kweli mama mkwe wangu ni mrembo ana umri wa miaka 52 sasa lakini ukimuona utafikiri ni binti wa miaka 22. Hakika baba mkwe anafaidi jamani!! Kwa kifupi mama mkwe amefanikiwa kuniingiza mtegoni...nimetegeka sina ujanja. Naona shetani amenikaba na roba ya mbao yenye misumari, nimesurrender!

Mama mkwe anataka tupige show! Natamani kupiga naye show ila nikiangalia kitakachofuata baada ya show, ni mlipuko wa bomu kubwa zaidi ya bomu la atomic, ambalo litaangamiza na watu wasiohusika! Naogopa siku nikija kupiga show ipo siku hii ishu itabackfire! Huwa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Je, mke wangu akija kugundua nimekula yai (mke wangu)kisha kumchinja na kumla kuku aliyetaga yai (Mama yake mzazi). Tena bora angekuwa mama wa kambo ishu ingekuwa nyepesi kidogo! Bila shaka ndoa yangu itavunjika na mke wangu anaweza hata kujitia kitanzi. Nikiwaza hivyo huwa naogopa sana kupiga show na mama mkwe wangu!

2. Je, baba mkwe wangu akija kugundua kuwa nimemla mke wake (Mama mkwe wangu, atajisikiaje? Bila shaka ndoa yake itavunjika anaweza ama akijipiga risasi au akanipoteza mimi au akaondoka na mimi peponi!

3. Je, shemeji zangu na ndugu wa baba mkwe na mama mkwe wangu watajisikiaje siku wakisikia nimemtafuna mama mkwe wangu? Bila shaka watanichukia na kunifanyia kitu kibaya!

4. Je, ndugu zangu (hasa wazazi wangu) watajisikiaje wakijakusikia kuwa mimi nimemgegeda mama mkwe wangu? Bila shaka wataniona mimi ni shetani! Watanitenga!

5. Je, kazini kwangu wakisikia hii habari watanionaje?

6. Je, jamii inayonizunguka ikijakusikia kuwa nimemgonga mama mkwe wangu, itanionaje? Sura yangu nitaificha wapi?

Nikijiuliza maswali hayo na mengine mengi huwa nakosa kabisa hamu ya mbususu. Inafika hatua natamani ningekuwa padri ili nisingekuwa nakula mbususu kabisa.

Kwa kifupi, mama mkwe anataka nimtafune. Nimejaribu kumuuliza maswali hayo hapo juu na mengine mengi lakini hataki kunielewa! Anasema tutafanya kwa kificho sana hakuna mtu atakayejua. Hilo kwangu najua haliwezekani...mapenzi ni kikohozi...za mwizi arobaini! Ipo siku hii ishu itabackfire tu.

Nimejaribu kuchomoka ili niachane naye ili tufike anakotaka twende, amenipiga mkwara mkali sana.

Amesema nikikataa atanigeuzia kibao kwamba ninamtaka kimapenzi, atamwabia mke wangu na baba mkwe wangu kuwa nimemkosea heshima! Chat zangu za mahaba tunazochat naye anasema amezihifadhi, ni kunithibitishia hilo chat zingine za miezi ya nyuma ameniforwadia, ili kuthibitisha kuwa hatanii! Hili nalo nimenipa mtihani na kunifanya nijiulize:

1. Je, nikigoma kumla na akanitangaza kwamba ninamtaka kimapenzi, si aibu itabaki palepale...Na mke wangu akisikia hivyo ndoa si itavunjika?

2. Baba mkwe akisikia ninataka kumzunguka si atanipoteza kabisa?

3. Ndugu zangu na jamii nzima wakisikia hivyo si wataniona mimi shetani tu?

Kwa kifupi, baada ya kuwaza na kuwazua juu ya hili jambo nimeamua kupiga show na mama mkwe. Kwa sababu nikigoma kupiga show, mama mkwe ataniharibia, ndoa yangu itavunjika, ndugu zangu na jamii nzima itanidharau, na naweza kuishia kujimaliza mwisho wa siku! Nimeamua bora nimtafune mama mkwe wangu ili hata nikija kupata adhabu iwe halali yangu, kuliko nikatae kumtafuna bado nije niadhibiwe na kufedheheshwa bila kosa!

Ushauri wako ni wa mhimu sana mwana JF, maana bomu lililotegwa naona litakuwa balaa...litaua na wasiohusika! Amani itawale!
Ulimla?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unaomba ushauri wa nini wakati ushaamua kwenda kumcharaza bakora mama mkwe wako?
Kwa hili kamwe usije ukamsingizia shetani kabisaaaa.. hujalazimoshwa na mtu, umeamua mwenyewe kwenda kupiga mashine. Nenda kasimamie ukucha mjomba maana baada ya hapo consequences hazitakuacha salama.
😂😂😂😂😂😂
 
"I'm a caring & responsible husband"

Rubbish kabisa..... Haya anatakiwa aseme mkeo...
 
Ukishamtafuna hebu utuletee hap picha kamili, utamu wake, experience yake, yaani usibakize hata moja tunataka kujua kama yaliyomo yamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom