Habar wana jf mimi nahitaj ushaur na utaratinu wa jinsi nitakavyomsaidia rafiki yangu mkimbizi ,kuna rafiki yangu alipata matatizo huko north sudan baada yakutokea machafuko wazaz wake waliuwawa ,hivyo ikambidi yeye akimbie ili ajinusuru maisha yake na kupata hifadhi katika kambi za wakimbizi...
Nikwel kabisa yani ili jeshi sijui vijana wake wakoje maana jana kwene fiesta mwanza watu wamepigwa bila hatia yani vurugu mpaka basi ,jeshi la polisi linatumia force kubwa watu wamevunjwa mikono miguu yani tafran
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.