Recent content by sosunyo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kilangalanga high school mnafuga mapanya road au tuwaeleweje?

    Mlandizi, Pwani, Tanzania.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kilangalanga high school mnafuga mapanya road au tuwaeleweje?

    Mlandizi, Pwani, Tanzania.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kilangalanga high school mnafuga mapanya road au tuwaeleweje?

    Wadau hii shule ya kilangalanga wameamua kufuga majambazi. Juzi tu mwanafunzi mmoja ambae alipewa adhabu na viranja kutokana na tabia yake ya wizi eti ameamua kuwakimbiza watu mabwenini akiwa na panga na kuleta taharuki kubwa shuleni. Hivi kweli mwalimu mkuu na walimu wengine mpo serious...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tunaweza kuwa na nchi safi mno hadi nchi nyingine zikaja kujifunza kutoka kwetu, kuna vitu vidogo tu vya kufanya. Visome hapa nimevielezea!

    Hivi chanzo hasa cha uchafu ni nini? Maana bila kujua ugonjwa ulipo utahangaika sana kumeza dawa lakini wapi... Kuna sababu nyingi lakini kubwa hasa ninayoiona kwa nchi yetu ni kutolipa kipaumbele swala la usafi wa mazingira. Hapa najumuisha wananchi (yaani mtu mmoja mmoja, vyombo vya habari...
Back
Top Bottom