Recent content by SOPINTO

  1. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Dunian kote ukiacha biasahara ya madawa ya kulevya , silaha cha kivita , inayofuata ni biashara mtandaoni....
  2. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Tuna haki ya kudai , wanaotakiwa kutuongoza katika madai haya ni TCRA kupitia kitengo chao cha madai ya huduma kwa mteja ila naona wamekaa kimya kama hawajui vile ...
  3. S

    Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Waangalie ni jinsi gani wanaweza kutulipa kwa muda ambao tumeshindwa kufanya biashara zetu kutokana na tatizo lao binafsi nimepoteza kiasi Tshs. 12,600,500/ kwasababu ya huduma yao.
  4. S

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ni kama maajabu mapya ndani ya taifa , Rais anakazana kuibrand nchi na kuacha mamlaka husika kufanya kazi zake , serikali ina wizara yenye dhamana , wizara ina Bodi maalum ya Kutangaza Utalii ndani na nje ya nchi , serikali ina mabalozi karibia asilimia 80 ya mataifa duniani , taifa lilipata...
  5. S

    Ni vyema Wizara ya Fedha ikajua kuwa uhalisia wa matumizi ya tozo sio maneno ya namba watanzania wanasubiri kuona

    Ni kama vile watanzania wamekubali yaishe , japo malalamiko mengi bado yanaendelea katika mitandao ya kijamii , huku serikali ikijitahidi kuwaaminisha watanzania juu ya matumizi ya tozo zinazowaumiza kila kukicha . Kumekuwa na kupiga kwingi kwa kelele katika vyombo vya habari huku wizara ya...
  6. S

    Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    HAPANA IPO HIVI KWANINI WATANZANIA WAMEPOTEZA IMANI KWA JESHI LA POLISI? Kumekuwepo na matamko mbalimbali kwa Jeshi la Polisi juu ya utendaji kazi kwa raia , kwanini jeshi limepoteza imani kwa raia ambao ndio jukumu lake kubwa kuwalinda raia hao , katika mkutano na Rais Samia leo amewaambia...
  7. S

    Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

    Kuna tukio limetokea hivi punde la mtu hasiejulikana kufyatua risasi hovyo na kuuwa askari , katika tukio hilo mpaka sasa hakuna taarifa za ndani juu ya tukio hilo zaidi ya mitandao ya kijamii kurusha picha za mtu huyo akiwa hai na nyingine akiwa amekufa. Sasa masikio na hamu tele kwa...
  8. S

  9. S

    Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  10. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Mubashara hauna uhuru wa kusema kila jambo liende katika public ni utashi tu wa fundi mitambo kufanya muting na off muting...
  11. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Kama wewe sio mwanataaluma ya habari ni ngumu kufahamu ila naamini Jafari yeye amenielewa
  12. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    safi sana mkuu umechangia jambo jema , mfano Rais akitaka kutoka nje ya hotuba asubiri yale ya msingi katika hotuba yaishe alafu aviruhusu vyombo vya habari vitoke nje ya ukumbi , then ndio aanze kuongea , hii hata katika ngazi ya familia sisi wazazi uwa tunafanya mfano kapo katoto hapo sebuleni...
  13. S

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Hongera sana kwa andiko
  14. S

    Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Ikulu Jafari Haniu naamini wewe ni mwandishi wa habari na umefanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari, katika tasnia ya habari kuna kitu kinaitwa "Off Records" katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal...
Back
Top Bottom