gfsonwin ushauri wako nimeupenda naona umenifahamu zaidi, hii nazungumzia upande wa kisaikolojia. Inawezekana labda ni chuki nimeiweka toka utotoni ya kutokuwa na wazazi wote wawili pamoja. Jengine ni upange wa kuangalia makosa zaidi, nitalifanyia kazi.
Kongosho
Kuolewa ni matukio sijalazimisha maana kama ni hivyo ningebeba hao jamaa ninaoona hatulingani just for the sake of marriage.
Lakini nimependa ushauri wako
Freema Agyeman, asante ndugu kwa ushauiri, yawezekana kweli nina mapungufu yangu bali yaelekea haujanifahamu. Kuhama mji ni kwasababu sio niko desparate ya mume bali ni kuwa nimeloose interest na wanaume wa hapa mjini, nasema nikibalisha mazingira naweza regain the interest back.
Heshima kwenu wandugu, nimekuja na maada inanihusu mimi nitajaribu kuifafanua ili mpata uelewa zaidi na muweze kunipa ushauri wenu, najua wapo watako kebehi lakini mungu anajua nini nia yangu.
Mimi ni msichana naenda in my 30s, makuaji yangu yamekuwa ya simanzi somehow maana baba tulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.