Recent content by Sookuluu

  1. S

    Kibonde naona sasa akili imeanza kukuingia!

    Huyu Kibonde angefaa sana kwenye michezo ya Bahati Nasibu, angekuwa analiwa mara nyingi sana. Huyu 'MC' nani kampa u-Radio Presenter? Kwa mwezi anaongea pointi 1 nayo kwa bahati sana na bila kujitambua. Kwa hiyo kwa mwaka ni chini ya pointi 12 labda asiende likizo. Msishangilie bali mwombeeni tu...
  2. S

    Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

    2andamane kudai matokeo ya watoto wetu & wadogo zetu. Hii nchi ni non-sensitive bila maandamano NO SERVICE!
Back
Top Bottom