Recent content by Sonofsoil

  1. S

    Bwana Mh Rais mwachie Lissu, tunachoshana.

    Weaponisation of state apparatus. It is a matter of time freedom is at the nearest door knocking!!!!
  2. S

    Bwana Mh Rais mwachie Lissu, tunachoshana.

    Viongozi wote wadini wanamtetea na 73% ya wanaCCM.
  3. S

    CHADEMA ya Lowassa ilikuwa bora kuliko ya Slaa ?

    Lowassa was in the next political level
  4. S

    Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

    Mbowe amefanya kosa la kiufundi kwa maelezo yake ni kwamba aliivamiwa na wapenzi wanachama wa CDM wakitaka agombee nafasi ya Mwenyekiti CDM. Kinyume na maelezo mzee mwanachama kutoka Bagamoyo anasema ameitkia wito wa Mwenyekiti. Hizi kauli kinzani zinamtie Mbowe doa.
  5. S

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    Bei ya Nissan Xtrail zina range vipi
  6. S

    Nani amesema kuwa Freeman Mbowe atagombea tena uenyekiti CHADEMA?

    Acha ukabila kernel ya 21 kutembelea gari la ukabila itakua ni ujinga na upumbavu
  7. S

    Kwanini CHADEMA au Tundu Lissu wana ukaribu sana na Ubelgiji?

    Tundu Antipas Lissu ni Ishara na kielelezo halisi cha mabadiliko. Katika siasa zake amekuwa na muelekeo unaoeleweka (CONSISTENCY FOR THE LAST 20 YEARS). Lissu sio mungo, sio mlafi, anachukia rushwa, hana bei, na anapenda mabadiliko. Taifa kama taifa, mfumo kama mfumo hawa ndio viongozi wa...
  8. S

    Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Tunawapa pole wafanyakazi wa TRA waliopata changamoto hii wakiwa wanatimiza majukumu yao ya ujenzi wataifa. Hili sakata la utekaji ambalo watu wanapotezwa na kuumizwa, kujeruhiwa, na kuuwawa imewajengea wananchi hofu kubwa sana. Tulishukuru jeshi la polisi kwa kusimamia suala la Masawe vizuri...
  9. S

    Polisi wazingira ofisi ya za CHADEMA, Muliro adai wanaimarisha ulinzi wasijesema wametekwa

    Baba alikuwa mvuvi mimi nikarizishwa uvuvi nikamrizisha mwanangu uvuvi utagemea nini kwenye shughuli zangu za uvuvi wa asili wakurizishana? Hasa pale mimi na wadogo zangu tuliposhindwa kutoboa kwenye shule za kata? Jibu twende tukavue hata kama mawimbi ni hatari mradi tule tushibe!
  10. S

    Sakata la maandamano ya Sept 23 wewe binafsi umejifunza na umegundua nini?

    Uoga uoga umetawala kwa upende wa watawala
  11. S

    Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

    Could be a possible and long lasting solution to commercial sex work but in our context it will raise a lot of moral questions! Hili halihitaji kamatakamata bali mjadala wa wazi ili kupata suluhisho ya kudumu!
  12. S

    PreGE2025 Hongera January Makamba, Waziri mwenye weledi mkubwa sana kuzungumza na kuongea lugha ya Kiingereza

    Uko sahihi 100%. Sio mshabiki wake lakini ukweli utabaki kuwa ukweli. Prof. Kabudi angekua waziri basi kidogo contest ingekuwa ngumu kidogo ila January hana mshindani!. Nafuatilia hotuba zake na mazungumzo yake ya kidoplomasia!
  13. S

    Ubungo: Wanawake 36 wanaodai kukamatwa na kudhalilishwa kuwa "Dada Poa" kumfikisha mahakamani DC Hassan Bomboko na kumdai Fidia ya Tsh. Bilioni 36!

    1. Hili linasikitisha sana: utamwitaje mtu dada poa? Je unatumia vigezo gani kuwabatiza watu sifa hii? Je hili linaongeza thamani kiutendaji na kisiasa? Je bila kuangalia chimbuko la tatizo lenyewe inawezekana kupatikana suluhisho endelevu la jambo hili? Tuna uchafu mwingi tu na maovu mengine...
Back
Top Bottom