Recent content by Sonkoh

  1. Sonkoh

    Mpenzi wangu ambae nilipambana kwa ajili yake anaolewa na in charge wangu

    Ama kweli mapenzi hayana mwenyewe.... pole kwa masahibu, ni jambo la kawaida kuachana hasa ktk maisha haya ambayo uaminifu ni kitendawili cha mahusiano! Mwache aondoke, hakuwa chaguo lako.... vuta subra na utapata mbadala wake, chaguo lako sahihi!!!!
  2. Sonkoh

    Why do Lesb use dildos if they are not into men? They are even shaped like Penises !!

    Nadhani ni fantasy tu na uraibu wa hisia... ila wahusika watakuwa na majibu kamili!!!!
  3. Sonkoh

    Mke Hawapendi wazazi wangu. Anaweza kaa miezi 3 hajawasalimia ingawa ni karibu na nyumbani kwao

    Mkuu! Pole kwa taharuki... ni wazi hupendezwi na tabia pamoja na mwenendo wa mkeo ila sio sababu ya kumwacha! Jukumu la kuwatunza na kuwajali wazazi wako ni lako mwenyewe.... mkeo atafanya kwa nafasi yake na kwa utashi wake na sio lazima mkuu vile vile kwako kwa upande wa wazazi wake! Lkn...
  4. Sonkoh

    DOKEZO Meru, Arusha: Kuna Mwalimu ni mvuta bangi na anauzia wanafunzi Bangi

    Ukiachana na wivu na chuki binafsi, hizi ni fitnah....
  5. Sonkoh

    Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Ajabu ni kama vile hatumuelewi.... sijui mwisho wake ila kwa kuwa anaamini dhamira na nia yake ni njema kwa taifa, asikate tamaa na ipo siku taifa litamuelewa!!!
  6. Sonkoh

    Huyu kibaka hatonisahau kwa hii adhabu niliyompa

    Hongera sana mkuu japo hamtakuwa mmetendea haki kama akitoka apo salama na mzima.... walau mkateni break, mkateni mikono au mponde vidole au mtoboeni macho!!!!
  7. Sonkoh

    PreGE2025 Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea urais, maana yake agenda yake ya No reform no Elections imeyeyuka rasmi na kuwa null and void

    Usichanganye mambo! Msimamo ni ule ule..... " NO REFORMS NO ELECTIONS " haina mahusiano na mtu yeyote yule kutangaza nia!!!
  8. Sonkoh

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa fanya kazi yako, unapwaya sana halafu sijui kama unaona au makusudi?

    Kama msajili ni kada.... tutegemee nini???? " NO REFORMS NO ELECTIONS "
  9. Sonkoh

    PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

    Mmmh! Hii ni huzuni na naionea huruma Tz yng.... ule wimbo wa Tz Tz nakupenda kwa moyo wote uko wapi?
  10. Sonkoh

    Moyo wangu unavuja damu inanitesa naombeni msaada nifanyeje?

    Ulikuwa sahihi kutomsamehe na kumpotezea lkn hasira zako zilikuponza..... jifunze kuwa jasiri na msimamo na wakati mwingine usifanye maamuzi usiyoyamudu maana majuto yako leo ni matokeo ya udhaifu wako kumsusa huyo mwanamke ili khali moyoni ujamtoa!!!!
  11. Sonkoh

    Ulipogundua ni mke wa mtu, ulichukua hatua gani? uliendelea nae au ulisitisha?

    Hatariii sana mzeeee.... game kama hizo peleka uwanja wa ugenini tena kwa machale maana wengine wamefungiwa track 👣
  12. Sonkoh

    Ulipogundua ni mke wa mtu, ulichukua hatua gani? uliendelea nae au ulisitisha?

    Hah hah... huo ujasiri wa kujiachia nyumbani kwa mwanamke na nyumba si yako ama hulipiii kodi unatoa wapi???
  13. Sonkoh

    Usiue huyu mdudu Kwa mikono yako

    Aka kamdudu ni kamzozo lkn reaction yake si kwa watu wote... sisi uku tunakaishi nako na hana madhara yeyote!!! Ila nilishuhudia kimbembe chake nilipokuwa Moshi Tech.... aiseeeh watu walichakazwa sana na alikuwa akipendelea sehemu nyeti, mfano macho, masikio, shingo nk!!!
Back
Top Bottom