Recent content by Sonimbusilo

  1. S

    PreGE2025 Luhaga Mpina: Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kunifukuza, mimi ni jembe

    Luhaga Mpina asema CCM haiwezi kumfukuza jembe kama yeye. Asisitiza kuendelea kudeal na mafisadi, hataangalia sura ya mtu, Rangi, Wala kujuana na wakubwa, asisitiza kusimamia misingi ya uanzishwaji wa CCM na aliapa kulinda katiba ya CCM na ya Nchi, asema msisitizo wa Muongozo wa CCM Uko wazi na...
  2. S

    Chama ni bora kuliko Nzengeli ndani ya uwanja

    Gamondi, Hersi, piteni na hii:- Max Mpia Zengeli Ni mchezaji mzuri sana ila ana mapepe, sio mtulivu, ana papara anataka kufunga muda woote kumbe kazi yake ni kutoa pasi zenye macho, unashangaa mechi inaisha Max Mpia Zengeli Hana Assist Hata moja. Chama triple C Mwamba wa Lusaka Ni mtulivu...
  3. S

    SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  4. S

    Ikulu imesafishwa vilivyo, Rais Samia malizia na hiyo 3% iliyobaki

    Ikulu imesafishwa kwa 97% Mhe Rais malizia 3% iliyobaki. Mhe. Rais umeamua kusafisha nyumba yako nyeupe yaani mahali patakatifu Ikulu ni bora usafishe yoote, Mhe. Rais Dr. Samia tumeona umeondoa karibu 97% ya wasaidizi wako Ikulu lazima kuna kitu ulikiona why? Umemuacha Waziri Salum Warsam...
  5. S

    Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais

    Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni. Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za...
  6. S

    PreGE2025 Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Pigo la pili kwa January Makamba na Nape Nnauye kwa Marais wawili tofauti Ni wao kujiona special toka enzi za CCJ. Wadau kwa mtizamo na jicho la kitafiti mtakubaliana nami kuwa January Makamba na Nape Nnauye Wana Maisha ya kujiona special toka enzi na enzi, ukitizama historia Yao hata ya Elimu...
  7. S

    Swala Solution na Barrick Corporation kulikoni? Kampuni ya Twiga iko wapi?

    ROSTAM AZIZ ni Shida Katika Taifa anataka kila sekta iwe yake kuanzia Kwenye kilimo mpaka migodini. Bashe amelipa fadhila kwa boss wake na ndugu yake Mfanyabiashara ambaye ana historia si Mzuri Rostam Aziz, Baada ya kuendana sawa Kwenye kilimo Sasa anamtumia aliyekuwa Naibu wake enzi hizo...
  8. S

    Nape na January Makamba walikuwa mzigo Serikalini

    Pigo la pili kwa January Makamba na Nape Nnauye kwa Marais wawili tofauti Ni wao kujiona special toka enzi za CCJ. Wadau kwa mtizamo na jicho la kitafiti mtakubaliana nami kuwa January Makamba na Nape Nnauye Wana Maisha ya kujiona special toka enzi na enzi, ukitizama historia Yao hata ya Elimu...
  9. S

    Swala Solution na Barrick Corporation kulikoni? Kampuni ya Twiga iko wapi?

    Bashe anaeleweka ni kijana mtiifu kwa Rostam Aziz, na pia katokana Rostam Aziz kumkamata mtoto wa Rais wa Kiume kila mtu Serikalini anamuogopa Rostam Aziz, kwenye kilimo tender nyingi za wazawa zimeporwa hadi Kwenye Mbolea, pembejeo ni vikampuni vya Rostam Rostam Rostam. Sasa Rostam Aziz kwa...
  10. S

    Swala Solution na Barrick Corporation kulikoni? Kampuni ya Twiga iko wapi?

    Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu? Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye Migodi?kwa Nini wanatamba kuwa Rostam Aziz hafanywi Chochote na watachukua Kazi zoote za wazawa migodini...
  11. S

Back
Top Bottom