Recent content by SongambeleEN

  1. SongambeleEN

    Taarifa: Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

    Mikopo hii, ni tofauti na mikopo mingine kutoka kwenye mabenki ya kibiashara kwani haihitaji Dhamana, kitu ambacho kimekuwa kikiwakwamisha vijana wengi wanaotaka kuanzisha miradi mipya.
  2. SongambeleEN

    Taarifa: Mwongozo wa Utoaji Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

    Ndugu wanajamvi, Kwa wale wanaopenda kufuatilia shughuli za Bungeni watakuwa wameshamsikia Mh. Waziri Gaudensia Kabaka akitangaza juu ya jitihada za Serikali kuzalisha ajira laki sita, hususani kupitia miradi ya vijana ambao watapatiwa mikopo ili kukidhi mahitaji ya miradi yao. Jambo hili pia...
  3. SongambeleEN

    Jamani hii mikopo ikoje???

    Mdau Hiyo asilimia 17 au 18 uliyoambiwa ni riba kwa kipindi cha mwaka mmoja (miezi kumi na mbili). Kiasi kamili utakacholipa kama riba ya mkopo wako kitategemea muda wa mkataba wako wa mkopo. Ukikokotoa hiyo riba ya 17% ili ujue riba kwa mwezi ni kiasi gani, utapata 1.42%. Hiyo riba ya 1.42%...
  4. SongambeleEN

    Saidia Nchi Yako: NUNUA bidhaa MADE IN TANZANIA.

    Ni suala jema sana kuhamasisha matumizi ya bidhaa zinazozalishwa na Watanzania ili kuwaunga mkono na kukuza Uchumi wa nchi. Lakini ni suala jema zaidi kuhamasisha ubora wa bidhaa hizo ili ziweze kukidhi mahitaji ya walaji na Soko, kwani kwa kufanya hivyo zitaweza kushindana na bidhaa nyingine...
  5. SongambeleEN

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Tafadhali, tembelea link hii ili ujifunze namna Mdau mwenzio alivyofanikiwa kwa kutumia njia hii ya Crowd Funding Investor turns to online crowd for expansion funds - Magazines - businessdailyafrica.com
  6. SongambeleEN

    Njia gani nzuri ya kumsaidia mjasiriamali mchanga kupata mtaji?

    Mdau Zingatia sana ushauri wa Nyabaheta na Lyamber kwani ni wadau wengi wanafikia malengo yao kwa njia hizo. Lakini sisi kwa leo tungependa kuzungumzia hii dhana ya CROWD FUNDING. Japo inaonekana kama dhana mpya kwa hapa Tanzania, lakini inafanya kazi. Je Crowd Funding ni nini? (Tafadhali rejea...
  7. SongambeleEN

    Form ya usail wa jina la biashara.

    Karibu Usisahau kupata taarifa zaidi kwa kutembelea page yetu ya twitter, http://twitter.com/SongambeleEN na kutu-follow
  8. SongambeleEN

    Form ya usail wa jina la biashara.

    Mdau form hizi hupatikana katika tovuti ya BRELA, www.brela-tz.org Form yenyewe unayoihitaji wewe ni hii hapa STATEMENT OF PARTICULARS IN THE CASE OF A FIRM Kila la heri
  9. SongambeleEN

    Mjadala: Wajasiriamali na Mpango wa Akiba ya Uzeeni na Mafao Mengineyo

    Mdau Michango yako inaheshimika sana hapa jamvini. Sisi kama SEN hatuna ufungamanisho na Pension Scheme yoyote, wala hatuna mamlaka ya kupokea fedha kama akiba kutoka kwa mtu yeyote, (hata kutoka kwa mwanachama wetu). Tunachokifanya hapa ni kuchokoza mada tu, kwani kwa uzoefu wetu, tumekutana...
  10. SongambeleEN

    Mjadala: Wajasiriamali na Mpango wa Akiba ya Uzeeni na Mafao Mengineyo

    Mdau, Muungwana huwa anahoji pale asipokuwa na uhakika na taarifa ili asije akapotoka au akapotosha watu wengine kwa kutoa hitimisho lisilo sahihi. Sisii kama SEN tunaamin unakidhi vigezo vyote vya uungwana, lakin katika hili tuna haki ya kudhani kuwa umepotoka kidogo. Ndugu, maudhui ya mjadala...
  11. SongambeleEN

    Mjadala: Wajasiriamali na Mpango wa Akiba ya Uzeeni na Mafao Mengineyo

    Uzoefu wetu unaonyesha kuwa wajasiriamali wengi waliokuwa na biashara ndogo ndogo walizokuwa wakiziendesha wenyewe (owner operated business) wanaishi maisha ya kubahatisha sana baada ya kushindwa kujishughulisha na shughuli za uzalishaji mali kutokana na uzee au hali zao za kiafya Je ni nani...
  12. SongambeleEN

    Mjadala: Wajasiriamali na Mpango wa Akiba ya Uzeeni na Mafao Mengineyo

    Wanabodi, Kwa kuwa wengi wetu tulidhubutu/tumedhubutu kuitathmini dhana hii ya ujasiriamali sambamba na kujitathmini binafsi juu ya njia sahihi zaidi za kufikia mafanikio ya kweli maishani. Tathmini ambayo ilitupelekea/imetupelekea, kudhubutu kufanya maamuzi sahihi ya kujiajiri wenyewe iwe ni...
  13. SongambeleEN

    Wito kwa wataalamu wa bihashara ya uuzaji na ununuzi wa hisa na masoko ya mitaji!

    Mdau, Sisi kama, SEN tumelipokea ombi lako, na tunalifanyia kazi.
  14. SongambeleEN

    Msaada; kufungua office yenye makao yake makuu nje

    Karibu Tafadhali na usisahau kuitembelea page yetu ya twitter na kutu-follow kwa habari zaidi http://twitter.com/SongambeleEN
Back
Top Bottom