Recent content by son_of_masia

  1. son_of_masia

    Aina za Pikipiki: Ipi "taste" yako kwa Matumizi Binafsi?

    Uzi mzuri sana hongera mkuu. Shida ya dealers wengi hapa Tanzania hawaleti bike za maana mfano tu hii kampuni ya Bajaj wana bike nzuri sana hizi Dominar 250cc au 400cc na ni imara sana sema wame target kuuza soko lao la india tu.Angalau hapo majirani zetu Kenya watejitahidi kuna baadhi ya...
  2. son_of_masia

    Msaada, nahitaji kuagiza pikipiki aina ya honda adv 2021

    Nimeongea kitu nachofahamu Akihitaji no. Za wauzaji anicheki nimtumie.
  3. son_of_masia

    Msaada, nahitaji kuagiza pikipiki aina ya honda adv 2021

    Nenda zanzibar hapo zimejaa za kutosha kwa wauzaji tofauti tofauti,huwa wanazitoa thailand na indonesia.kwa hiyo ya 2021 ya 150cc wanauza kuanzia 7,500,000 hapo bila ushuru wa bandarini n a usajili wa tra.
  4. son_of_masia

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Hii hadi kuipata itagharimu bei gani?
  5. son_of_masia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Baada ya spain vs morroco kuleta ushenzi wao,now [emoji1201] analeta ulaji[emoji23][emoji23]
  6. son_of_masia

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Nahitaji mojawapo kati ya hizo kama unayo nije kuchukua Kodtec kt2912 Kodtec kt 2913
  7. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Good luck Ukipata duka wanalouza unijulishe nami[emoji4]
  8. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Hay mkuu kula vinu vikali kwa bei sadalaa
  9. son_of_masia

    Ushauri wataalam, nahitaji kuweka hizi speaker geto

    Suluhisho lako ungepata kodtec subwoofer kati ya kt 2912 au kt 2913 ungefurahia sana maana mkito wake si mchezo na bei zake ni 400-450 Jaribu kutafuta madukani japo kwa sasa zimeadimika kidogo.
  10. son_of_masia

    Sound Bars za JBL

    Kama ww ni mpenzi wa deep bass basi nenda jbl hutojutia wana sound nzuri sana kwa soundbar Mm nimezielewa sana sema ni vile uwezo wangu haufiki huko[emoji1]
  11. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Pale wamefail sana ndio maana stock wanayo nyingi Nachoshindwa kuelewa kwanini wasilete mzigo mpya wa yake matoleo yenye demand kubwa sasa? Ndio ndio sales manager amelala
  12. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Imekuwa kisanga Naona wauzaji wameamua kuuza bei juu baada ya kuona demand ni kubwa Ile kt 2911 sijaipenda sound yake na ndio ipo kwa sasa[emoji3]
  13. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Mrejesho Leo nimetoka kariakoo kwenye maduka mawili ya kodtec wameniambia mzigo wamemaliza wiki iliyopita na hakuna duka lolote wenye hizi kt 2912 au kt2913 Nimezunguka hadi kariakoo mall nimekosa Kuna duka nimeziona ila hyo bei nimeishindwa jamaa wanauza 850,000 pale kariakoo naona zinashakuwa...
  14. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Kuna maduka k koo mtaa wa uhuru na msimbazi
  15. son_of_masia

    Kodtec Speaker systems

    Shukran mkuu nimekuelewa nitajipanga kuchukua hii kt 2912
Back
Top Bottom