Recent content by Son of living God

  1. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu

    Namba za simu
  2. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Unamaanisha wanaweza ita tena watu
  3. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Akina nani hao mkuu
  4. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Yupo Dodoma Kaka.
  5. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nipe kaka miongozo kuna mwanangu amepata hajui hata moja kuhusu CCP, Hapo yenyewe nimesaidia kumuulizia maana alikuwa anawaza kubeba mindoo mara mikwanja
  6. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naomba niulize swali wakuu, hivi hawa wanaoenda CCP Vile vifaa walivyoagizwa kama Kwanja na ndoo unaenda nazo kuripoti nazo makao makuu au wanunuliaga huko vifaa vingine?
  7. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahsante sana Askari, unamaanisha Yani kwa mfano mtu anadegree ya uraiani halafu akaingia Monduli yeye anasoma mwaka Mmoja tu?
  8. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wanaposema Regular wanamaanisha nini?
  9. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Una maanisha mkoa mzima wamechukua watatu? Au naota? Mkoa gani huo?
  10. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu habari, ofisi za kamanda wa polisi mkoa wa DSM zipo maeneo gani? Maana silifahamu vizuri jiji la Dar naomba mnielekeze nataka kupeleka nakala zangu. Ahsante.
  11. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna kitabu nimekisoma majuzi kinahusu jinsi ya kushinda Changamoto "How to win Crisis" by MYLES MUNROE. Kimenisaidia sana katika PDF hii baada ya kutoka na kuona jina langu halipo. Nimegundua kuna Maisha mapya mazuri katika kila Failure.... Kitu Pekee cha muhimu kilichoniboost Pale kitabu...
  12. Son of living God

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    "Basi tufundishe kuzihesabu siku zetu ili tujipatie Mioyo ya Hekima" Acheni kubishana Askari.
Back
Top Bottom