Wadau embu tusaidiane, kwani ni sheria au ni lazima barua ya maombi ya kazi iandikwe kwa mkono? Kama jibu ni mdio wanachoangalia ni nini? Muandiko au? [emoji4] Kama ulisha wahi kuandika barua yamaombi ya kazi kwa mkono au kwa ku type alafu ukapata unaweza pia kutupa uzoefu!
[emoji1]Asante Boss! Kama ulivyo malizia hapo chin kweli mi napenda kusoma na ndio naamin hivy pamoja na mishe zote elimu pia itakuja kunisave one day! Asante kaka
Chuo napata kozi gan hapo ya afya bila physics ndo mwish wa siku naangukia vikozi visivyo eleweka! Bora nitafute hata D ya Physics nikiweka na hizo credit za Bio na Chem kama siend advanc bas nikapoge hata clinical medicine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.