Recent content by somji

  1. somji

    Ajira sales and Marketing

    Anahitajika Sales& Marketing Vifaa vya Ujenzi. hapa Dar es salam Ofisi ipo Tegeta Mwisho. Nafasi zipo mbili. Wasichana tu! 0746411019.
  2. somji

    Machine ya kupress bush inahitajika

    Machine used ya kupress bush inahitajika. Iwe imara Nzima. Mahali Dar es salam 0689773867
  3. somji

    Msichana anahitajika kuuza duka la nguo

    Msichana anahitaji kuuza Duka la Nguo. Awe Mcheshi mwenye uwezo kushawishi Wateja,
  4. somji

    Mayai ya kienyeji yanatafutwa

    Habari. Natafuta MAYAI KUKU WA KIENYEJI Trei kuanzia 50+ Nipo Dar es salam. Note: SIO MAYAI CHOTARA.
  5. somji

    Natafuta soko la Vanila Tanzania

  6. somji

    Rim paper zinauzwa bei ya jumla zipo Dar

    Rim paper zinauzwa bei ya kutupwa kabisa. katoni elf43. Fixed. 0713365932. Hizi ndo picha zake Sent using Jamii Forums mobile app
  7. somji

    Dereva wa bajaji anahitajika

    Njoo kuzie yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. somji

    Compresa mpya kabisa zinauzwa bei nafuu!

    Ni compresa kutoka UK na Germany zinauzwa kwa bei chee kabisa! Ili kuukomboa Mzigo Mwingine Bandarini. 0713365932.
  9. somji

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mjini NALA BP. Karbu na chuo kabisa. Ni Kiwanja cha Makazi kina ukubwa wa 569 Square mita. Huduma zote zipo maji na umeme. Kipo Barabarani. Kimepimwa na HATI. BEI 5.5M . Mawasiliano; 0687312076.
  10. somji

    MAGUNIA YA KATANI YANATAFUTWA HAPA DAR.

    Kwa mwenye magaunia ya katani yanahitajika hapa Dar 0752886798
  11. somji

    FOR SALE KIGAE KUTOKA UK.

    Kwa namba 0713365932
  12. somji

    FOR SALE KIGAE KUTOKA UK.

    Kigae kutoka UK. Kinauzwa bei Rahisi zaidi kulinganisha na Bei za hapa Tz. Imara na Hakipauki. OG kabisa.
  13. somji

    ABC ya Dar-Singida Acheni Ubabaishaji.

    Usafiri wangu wa Dar to Dom mara kwa mara but Nachukizwa sana wanaposimama kwenye ile Hotel pale Morogoro. Wanachakula kibayaa na Quality mbovu kbs. Huku bei yao ikiwa Juu tofauti na zile Hotel Stand ya kwenda Dom. Wezao wanachakula Kizuri.
  14. somji

    Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Ila Simiyu, Musoma na Tabora nimekaa Nipagumu huko kibiashara aisee.. Ila sehemu kama Dodoma Washikqji zangu wengi wametobolea Maisha pale.. Na walikua Mikoa Mingine Maisha yaliwashinda kbisaa.
  15. somji

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Natafuta Raum haraka no. D. New model offer 7.5m. 0689773867 Dar. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom