Recent content by Somi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Sheria Ngowi aang'atuka Yanga, aichapa "Thank You"

    Kauli mbiu mpya ipendekezwe “ Daima mbele daima mwananchi “!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    kuna mechi simba alifungwa na yanga kipindi cha pili hakurudi uwanjani ilikuwa lini ?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Kutolewa kwa vilabu vya afrika ni kuzidiwa uwezo wa wachezaji kiufundi, fitnesss na ufundishaji na vilabu vya ulaya na amerika kusini .
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunachowadai wachezaji wa Simba msimu huu

    😂😂
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa Yanga baada ya msimu huu kumalizika

    Dube ni wakawaida sana , nafuu sowah Bacca na job wapewe ela ya maana .
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    Machi 8 alikimbia ila Leo hakukuwa na upenyo wa kukimbia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

    point za huo mchezo hazitahesabika yanga atabaki na kumzidi simba point moja maana wote waligomea mchezo kwa nyakati tofauti . Yanga kugomea mchezo ni kuonyesha nayo ni timu kubwa Kama simba walivyogomea na si vinginevyo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wana Simba Nina zawadi yenu ya wimbo huu mpya

    😂simba jike
  9. S

    JamiiForums Tanzania Simba waliponzwa na mbeleko za ligi yetu, yaliyopita si ndwele.

    marefa wa caf wana uaragija. Marefa wote hapa bongo wangekuwa na uaragija tungeongea mengine kabisa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Sawa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

    mamelodi kwa wizi alioifanyia yanga hawezi kubeba Kombe. Tupo na Mayele
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanga alifika final CAFCC na katika league ya ndani alichukua NGAO, LIGI KUU na FA

    Kwishnei kabisa
Back
Top Bottom