choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
- Thread starter
- #21
Nawakumbusha tuu wachezaji na viongozi, kusare ama kufungwa leo hakukubaliki kwa namna yoyote ileEndapo Simba itashindwa kuibuka na ushindi hiyo tarehe 25 yafuatayo yanatakiwa kufanyika
1. Benchi lote la ufundi liondoke
2. Wachezaji wote waondoke timu ianze upya
3. Uongozi wote uachie ngazi
Ni dhambi kushindwa kuwafunga nyuma mwiko mechi 5 mfululizo na viongozi wapo wapo tuu