Recent content by solution

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dharura, mtoto wa kiume kutosimamisha uume

    We hovyo kabisa. Udhaifu wako wa kukosa utulivu na kujiamini .. unausambaza kwa mtoto.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    KOSA la kawaida kabisa ni kuzitafsiri hizo data na kusema 49% ya ndoa kwenye jamii zinakabiliwa na hilo tatizo. Lakini hakuna ubishi kwa hiyo % kuwakilisha HAO TU waliofika kupimwa LAKINI hawawakilishi jamii nzima.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Agizo la wafanyakazi wa Serikali kutosafiri laimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola

    Udikteta ni chombo tu kama kisu au Bunduki .. Kinacho matter ni MTUMIAJI.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: Kutumbua majibu na hapa kazi tu ndiyo Falsafa ya Rais Magufuli na CCM?

    Hebu nikumbushe falsafa ya awamu ya 4..!
  5. S

    JamiiForums Tanzania TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Si kila kipindi kitarushwa tu simply mtu anauwezo wa kukilipia.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    Fafanua .. !
  7. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    You really think will come out and shout ? .. I don't believe he's that Low!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    He deserve IT. Hongera Morani kwa uvumilivu uliotukuka!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    Hosea can't be this low!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kustaajabisha kuhusu Nanjilinji

    Nalinjili .. ! Inaweza ikawa neno lenye maana yeyote.? Ina maana gani.?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    mleta mada wewe mwenyewe umesema "UASI" ndio Unaleta Kifo. Kwa muktadha huo basi Adui #1 kwa mwanadamu ni "UASI". Wala sio Kifo.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

    Kuwa na hoja zilizosimama wema ni nani hadi yeye tu awe ni kivutio. Tunataka sheria iwapitie wote bila ... !
  13. S

    JamiiForums Tanzania Washauri wa rais, mfikishieni Rais ujumbe huu

    We mleta hoja kichwa chako kimejaa maji ya madafu. Kitakacho kuokoa toka kwenye utangulizi niliotoa kwa moyo safi ni labda iwe tu kuwa wewe huelewi bandiko lako; vinginevyo .. Akili zako zemeshambuliwa. JPM hauhitaji huo ujumbe hapo: haumuhusu kwa namna yeyote ile. Nimalizie kwa kusema kwamba...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanadamu duniani

    kulingana na hoja yako we mtu wa chuma .. adui unayemtaja sio kifo umejichanganya ... kwenye maelezo yako ..
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

    God Bless You MR President !
Back
Top Bottom