Kama chuo kitakuwa na uhitaji wa tutorials assistant utabakisha au ujaribu kuomba kazi za tutorials assistant kwa university college(Vya private) na institute kuanzia G.P.A 3.5 na university ni kuanzia G.P.A 3.8 au ukasome masters na uwe na G.P.A kuanzia 4.0 ili uje kuwa assistance lecturer...
Nafanya kazi hizi
-Kufundisha somo la uchumi na commerce katika O-levels na advance levels.
-Kufundisha uchumi katika undergraduate level certificate, diploma na bachelor degree.
-Kutoa notes na vitabu vyote zinazohusiana na uchumi kama micro economics, macroeconomics, econometrics, n.k...
1. Kama unataka uelewa mpana kuhusu masuala ya uchumi na tafiti zake kama inflation, exchange rates and Foreign exchange market(FOREX) Foreign Direct Investment (FDI) per capital income, gdp, investment, interest rate n.k fanya hiyo ya ardhi.
2.na kama unataka kufanya kazi katika financial...
Bachelor of economics and finance unasoma mambo baadhi ya uchumi na mambo ya baadhi ya finance lakin unakuwa haupo deep sana kwenye uchumi na wala finance kwa pure economics(bachelor of arts in economics) na pure finance ni bachelor of commerce in finance lakini inakuweza kuomba kazi...
Bachelor of arts in economics(pure economics) unasoma kozi zote zinazohusiana na uchumi kwa ujumla na inakuwezesha kufanya kazi zote zinazohusiana na uchumi mfano agricultural economics and natunal resources, environmental economics(NEMC), Public finance(taxation), international...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.