Recent content by SOLOMON TAMIRU

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni zipi sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Best Student Chuo Kikuu?

    Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT. Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Benki zinazolipa vizuri na Benki zinazolipa vibaya wafanyakazi wake nchini Tanzania

    Maana kwa sasa nimesikia wanalipwa 1M....????
  3. S

    JamiiForums Tanzania Benki zinazolipa vizuri na Benki zinazolipa vibaya wafanyakazi wake nchini Tanzania

    Hivi mishahara ya Bank Teller kwa CRDB bado inaanzia 7k....?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

    NA kwa mwaka inaongezeka kwa asilimia ngapii...??? MKUU
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

    Kuuliza si ujinga..mwenye kufahamu naomba anijuze..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

    hasiraaa za nn
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

    Hasira za nini
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani?

    Wakuu hivi mshahara wa bank teller ni kiasi gani kwa sasa CRDB nimepata mchongo hukoo..Nimemaliza chuo juzi Bcom Finance UDSM
Back
Top Bottom