Recent content by sokowelehk

  1. sokowelehk

    Mbunge wa Mpwapwa angalia wenzio wanachanja mbuga wewe unasali tu

    Umenena yalio mema kwani mpwapwa ni kati ya Wilaya kongwe kabisa ila kimaendeleo ni zero. Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu 2025 sio mbali sana, atahukumiwa na wajumbe.
  2. sokowelehk

    GE2020 Msemaji Tume: Kila Mgombea aliyefika kwa wakati Kupokelewa Fomu zake

    Usije tenda kosa kwa kutegemea huruma toka kwa adui.
  3. sokowelehk

    Membe: Kikwete siyo kaka yangu

    Mlizoe vilivyo jifia
  4. sokowelehk

    Bernard Membe na mkewe warudisha kadi za CCM. Aishukuru CCM kwa mema yote iliyomtendea

    Hahahaaaa, niguse ninuke. Membe bwana, kajipulizia pafyumu.
  5. sokowelehk

    Barrick agrees to pay $300 million to end Tanzania dispute

    Hahahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. sokowelehk

    GE2020 Nasubiri wasusie Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sokowelehk

    RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Kwanza kakorona ni kagonjwa kadogo tu. Hata malaria ni ugonjwa mkubwa Tanzania kuliko Corona. Sisi wanambea tunaendelea kula vitu toka day one kutangazwa ugonjwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sokowelehk

    Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

    Kazi ya uzushi na uzandiki ni ya CHADEMA Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sokowelehk

    Suala la viongozi wa CHADEMA kurudi Bungeni na kulipa pesa

    Mkuu, ulichoongea naunga mkono 100% Mi naongeza, Mbunge anaechaguliwa kuwakilisha wananchi anatakiwa awe mkazi wa kudumu katika jimbo husika. Kunawatu kisa tu wanaasili ya sehem flani wakisikia chaguzi unakaribia wanakuja vijijini kuutaka ubunge. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sokowelehk

    Mwigulu Nchemba, umechagua strategy mbaya kurudi ulingoni

    Mwenye akili amekuelewa. Hata mleta mada kakuelesa ila kwasababu naye ni walewale atakomaa kutokuelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sokowelehk

    Wakuu wa mikoa na wilaya Vijana wameonyesha tija kubwa, wanasiasa wajanja wajanja wamepotea

    Imemsahau mnyeti wa manyara mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom