Recent content by sokonne

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wapiga "dili" wazidi kubanwa. Heko Magufuli na Serikali yako!

    Kuna wale wapiga deal wa uwanja wa ndege, ununuzi wa ndege kwa cash, vitambulisho vya taifa, itabidi tujue walikoenda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yvonne Chakachaka atamani kukutana na Rais Magufuli. Ampongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

    Kofi olomide pia anatamani kukutana na kagame ampongeze kwa uongozi mzuri.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya kuchunguza uraia wa baadhi ya wanasiasa

    Mwenyewe kiswahili hujui, tunaanza na wewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Diwani Wa Chadema kata ya Tabata adaiwa kuwachangisha wananchi 20,000 ili kuzuia nyumba zao zisibomolewe

    Tuonyeshe matumizi 1.5 trilioni, acha kuficha kichwa, while kiwiliwili kinaonekana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mlinga ampa kazi IGP kuhusu kina Mange

    Uelewa wa watu kama hawa ndiyo unapelekea wazee wastaafu kuhitisha mjadala wa elimu. Haiwezekani kichwa kubwa kama tikiti, akili ya panzi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mlinga ampa kazi IGP kuhusu kina Mange

    Duh, kweli tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu elimu, mbona kufikiria imekuwa kazi ngumu hivi?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mlinga ampa kazi IGP kuhusu kina Mange

    Huyu aliyesema mwanamke kwenye nembo kavaa wigi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kwenye mgao wa 1.5tr+, we unapambania buku 7 tu?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka 2020 nchi itakua imekwisha kbs kiuchumi no direction

    Wewe ni kati ya watu waliyosababisha mkapa aitishe mjadala wa elimu, uelewa wa mambo umefifia sana
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

    D Duh, Mkuu na wewe ni mmoja wa malaika?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

    Uelewa wa watu kama wewe ndo unafanya elimu yetu inadharaulika
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    Hajadanganya Mkuu, ameongea kilichopo kwenye report yake.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuapishwa kwa majaji Ikulu: CAG mbele ya Rais Magufuli, akanusha Shilingi trilioni 1.5 kuibwa/kupotea

    Hajadanganya Mkuu, ameongea kilichopo kwenye report yake.
Back
Top Bottom