Recent content by sokoloso

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe ni mwanamke unayetamani ndoa?

    Nahitaji mke wa ndoa niko Dar.Awe ni mrefu mengine yanaongeleka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mugabe ni noma

    Wapo wazungu hawana pakupita na kuweka mtu wao
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kufundishwa nyumbani

    Wale ambao hawana muda wa kwenda vituo kutokana shughuli zao na wangependa wafundishwe nyumban wanaweza kuni pm.kwa masomo ya history,geography na civics
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hujaolewa

    kama unachemka tuma namba yko acha utani niko serious mwenzie
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hujaolewa

    komaa refuka oh
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je hujaolewa

    Niko dar nina miaka 38 nimeajiriwa ninahitaji mke wa kuoa awe na kazi au mfanyabiashara awe mrefu mengine hayana nafasi
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mtu mzima

    nitumie jina lako kama upo kwenye facebook na namba ya simu tuongee vizur
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mtu mzima

    Ninatafuta mwanamke wa miaka 30-38 kwa ndoa kwa wanaishi DAR tu.mm nina miaka 38
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    roho yk itakavyo
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu mwenye sifa hizi

    wapo utawapata tu
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    hao wanakuja
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamini mume wangu atapatikana humu JF

    watu wengine wako serious halafu wengine wanaleta utani akaaaa
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke umenizidia!

    komaa ulimwengu sisi lelemama
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jamani natafuta mwenza

    subiri utapata
Back
Top Bottom