Teh,teh,teh,teh,,,,ha ha ha ha ha ha ha ha! Jamani mbavu zangu mie!
Kumbe Lemutuz ujinga alionao amekopi kwa baba?
Kweli nimeamini ukiwa Mzigo lazima uzae mtoto MZIGO!
Mzee Malecela ni Mzigo ila Lemutuz ni MZIGO zaidi.Huu ndio mwisho wa Ccm baada ya Chadema kuvuka salama kwa Wasaliti sasa...