Hii vita huwa nikiifikiria sana nashindwa elewa nini hasa ndio chanzo cha haya yanayoendelea leo huku mashariki ya kati. Kweli Hamasi waliwavamia Wayahudi na kufanya kama yaliyoshuhudiwa siku hiyo Octoba 7, watu wakatekwa na wengine kuuwawa, Myahudi akaanzisha kitu ambacho aliapa kuwa kitu...
Nani ambae kawafunga mikono bwana mdogo????? kama walikuwa wanataka vita na wanajiona wapo sawa si wakae sehem nzuri na waache kutumia raia kama kinga alafu uniambie kama hiyo vita itadumu kama ambavyo kwa sasa inakuwa ngumu
Kwa hiyo mrusi kwenye vita unahis unavunja miti ya misituni tu???? Kama hujui kitu/vitu tafuta literatures zitakueleza.
Vita ni vita tu mkuu, kwa nn huwalaumu HAMAS kwa kuendelea kuwashikilia mateka ambao wamewateka????
Unahis Israel anapoendelea kulipua sehem flan unahis hana intelejensia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.