Mwelimisheni Huyo bwanamdogo mwambieni mambo ya hisa yako England zaidi na ndo maana timu hazifanyi vizuri sana nje ya nchi zinakiwa na MTU mmoja anasauti kuliko wengi. Kwa hiyo mchezaji anayemtaka ndiyo anasajiliwa. Angalia wakali wa Spain na German wako vizuri
Mwenye kupenda haoni ingawa macho anayo. Hapo CCM wako wapi na wanahusikaje? Mi nilidhani ni bora ufanyike ili kuondoa utata. Wewe unataka waachiwe wajipigie tu? We ni zege kwelikweli. Au unataka wasikaguliwe, iweje sasa. Chama chetu ni bora kisafishwe kwa kikaguliwa kuziba vinywa vya wajinga.
Sio kwamba ccm hakuna mafisadi maana kuna wakati awamo zilizopita zilisahau wajibu na majukumu yao kwa umma na kijihusisha na ufisadi na wakiwemo akina lowasa nyarandu na wenzao na hata wengine bado wapo ndani ya ccm. Na katika uchaguzi wa mwaka 2015 walipenya na kushika nafasi kashaa zikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.