Recent content by Socrates_family

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imeonesha ubaguzi wa wazi kwa vijana waliosoma mpaka elimu ya Juu

    Mkuu , hao wanaokwambia hivyo kwa ufupi wanakupenda sana sema hawamalizii ujumbe wao kwamba wakati unasoma degree yako jitahidi sana kujibana kwa matajiri wa mjini hapo kama ni mji ili ukimaliza wakufadhili kula na pa kulala vinginevyo ukihitimu tu hapohapo unarudi kulala chumba ulicholala ukiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Serikali imeonesha ubaguzi wa wazi kwa vijana waliosoma mpaka elimu ya Juu

    Mimi natangaza kuwa MTU wa kwanza kuwa siiamini Serikali kama inawaona vijana na generation ijayo .. Sijui serikali hii inatamani kuona Society ya aina gani in 5 to 10 years later. Naamini vijana ni kundi linaloteseka sana kuliko kundi lolote lile na kipindi hiki cha awamu ya tano vijana...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kiroho

    Mkuu kwanza nakupa pole sana Nilivyosoma ujumbe wako huu , nikadhani unaniongelea mimi . unapitia changamoto kama zangu 100% 1. Nimefuatiliwa na hizi roho sana na huenda isingekuwa watumishi wa Mungu nisingekuwa hai kabisa Tatizo watu haya mambo wanayachukulia kimchezo , 2. Nilifukuzwa kazi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Itabidi niende , nakushukuru muno , huo ni mwanzo wa kuniponya , asante sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Duh umenitisha mkuu Kama juzi limekuja na ni lizuri sana nikawa nalikataa hatimaye likanilazimisha Likawa linanyonya mashine yangu kwa ustadi wa hali ya juu ndo nkalikubalia lakini baada ya kugombana saaaana mpaka nkanyanyua meza kulipiga linaniambia siwezi kulipiga na nikijaribu litanikomesha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu , nashindwa hata kukwambia nini naamini wewe una tatizo fulani kifikra , hebu tuwe na adabu kidogo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu hongera kwa kupona Watu wanachululia mchezo haya mambo lakini najua yanawatesa wengi mno Nimekutumia ujumbe PM ucheck mkuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu , Mimi sio muislam , ni mkiristo ! Lakini tatizo langu linanitesa na nahitaji liishe bila kujali aina ya dini iliyoliondoa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Duh Haukujua Niko serious kiasi gani mkuu mpaka naleta huu Uzi Ni mateso unajua aseh Sijaona hata wa kusema nini nifanye kuliepuka
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu , hili tatizo lipo na huenda ni LA wengi mno lakini wengi hawasemi hukaa nayo moyoni Nakwambia Mimi nilikuwa na assume kama wewe au zaidi yako lakini nikikusimulia private hata wewe utajua ninachomaanisha kuwa ni serious issue
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Ilitokea nikawa najikuta naota najamiiana nayo ndotoni mkuu , nilivyooa ndo yakaanza kunitishia
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu , linanitesa sana usiku wakati wote linanijia linataka nisex nalo , Na wakati mwingine nasex nalo nakuta manii kitandani mengii, alafu linaniambia nisipoacha mke litavuruga kila kitu changu ,na nimeanza kuona mambo yalivyo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Duh , ungejua navyoteseka ungenihurumia
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Mkuu , nateseka sana , Luna m wengine wamechukulia utani , kwa kweli siyo utani Limenifilisi sana na kila siku usiku linakuja linaniambia lazima niachane na mke wangu LA sivyo litaniletea majanga Na kweli mpaka sasa nimeona madhara Wakati mwingine linakuja linataka sex nakataa , linalazimisha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba. Na pia naomba kujuzwa kuhusu ; 1. Linatokea wapi ? 2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU 3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani 4 . je, halifi ? 5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa? Nisaidieni ...
Back
Top Bottom