Recent content by sochaz

  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na TBC kunani?

    Tahira hujiona anajua sana kuliko wazima. Chezea lema,hugo chavez.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polisi: Upelelezi wa Lwakatare umekamilika

    Ah mwigu...! Nakumbuka enzi nikicheza mpira,nikiona game linakuwa gumu lazima nijisalimishe kwa refa kuomba ahuweni walau awabane opponents. Elimu unayo mwigu...mbona fake zenu za kitoto sana mnazocheza.?
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Imekaaje?

    Kwa comment yako unaweza kuwa na jibu? Tusaidie tafadhari...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

    Hahahaaaaa.....cheka kisport....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe na 'upuuzi' wa wabunge wa CCM!

    Hivi hawa ccm wamerogwa na nani. Ki ufasaha wabunge wote wa ccm wanachokifanya bungeni ni comedy sio kwamba hawajui watendalo,wanajua udhaifu wote wa kile wanachokinena. Swal : wanamkomesha nani,au ndo kuonana mabwege kwa sisi tuliowapa kwenda choo?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe na 'upuuzi' wa wabunge wa CCM!

    Hivi hawa ccm wamerogwa na nani. Ki ufasaha wabunge wa wote wa ccm wanachokifanya bungeni ni comedy sio kwamba hawajui watendalo,wanajua udhaifu wote wa kile wanachokinena. Swal : wanamkomesha nani,au ndo kuonana mabwege kwa sisi tuliowapa choo?
Back
Top Bottom