Ndiyo aliwataja mafisadi 11 mwembe yanga,sasa mbona anamzogoma lowasa peke yake hao wengine mbona hawataji,halafu ufisadi ni Richmond tu peke yake,escrow,epa,twiga kwenda nnje,meremeta,nk hivo havitajwi,,aache wivu,yeye amekosa mvuto aende zake,ataka kila siku watu kuwa wapinzani,kama anaenda...