Recent content by Soc999

  1. S

    Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

    Hiyo damu ya wanyama unayomwaga wakati damu ya Yesu ilishwamwagwa bure! Atalia mama yake kama anaye
  2. S

    Utata wa mpaka wa ziwa Nyasa: Google map wako sahihi kwa 100%, serikali ya Tanzania msipotoshe na kutisha watu

    Umeshiba makande wewe. Kama kuna siku niliwahi kumuelewa Mzee Jakaya ni siku alipoelezea historia ya huu mgogoro. Lazima tuwafundishe watoto wetu, kwani sababu mzito za kihistoria na za kisasa zipo kwanini mpaka uwe katikati. Yaani Google map ikisema Mt.Kilimanjaro ipo Kenya na sisi tuufyate siyo?
  3. S

    Ufafanuzi: Kwanini tuliona Lissu anafaa urais 2020 na sasa hafai Uenyekiti?

    Wacha usitubebe ufala wewe, in Kenyan's voice😀😀. Kama ayatollah Bado hajatangaza Nia lakini uko busy kuchafua wengine. Unatuonaje watz Kwa mfano?
  4. S

    Mbowe ni kiongozi mzuri ila kiroho ameshakataliwa na akilazimisha kutaka kuwa Mwenyeketi itamletea madhara hasi.

    Hafu jana nimeutafuta sana ule Uzi wa kibali lkn si kupata. Nitag na mm tafadhari, ila kwenye ule Uzi umethibitisha Mayala maana yake njaa(curiosity if be positive)😀😀😀😀😀😀
  5. S

    Ngurumo: 90% waliohudhuria huo mkutano wa Tundu Lissu alipokuwa akikinanga chama chake, walikuwa ni wana CCM waliovaa sare za CHADEMA bila yeye kujua

    Ngurumo hawezi kuipenda Chadema kuliko anayeishi na risasi mwilini mwake Kwa ajili ya Chadema.
  6. S

    Mbowe ni kiongozi mzuri ila kiroho ameshakataliwa na akilazimisha kutaka kuwa Mwenyeketi itamletea madhara hasi.

    Yaani wanaotoa sababu kwanini Mbowe mitano Tena, zote ni kinyume na mambo ambayo Chadema inayapigania na imekuwa ikiwaaminisha watu kuyapigania. Nakumbuka prof Kabudi aliwai kunukuu ushauri aliyopewa na mwanazuoni mwenzake, " In public service you must learn to swallow your pride and suppress...
  7. S

    Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Wewe ni chawa, m aana Kwa lissu umec In Kibaki's voice," Mavi ya kuku wewe"
  8. S

    PreGE2025 Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

    Unaweza kumburuza mtu darasani lakini huna akili. Kwa sababu maswali mengi hzo yalibezi kukariri. So unaweza kuwa unakariri tu lkn una mismatch kati ya ulichokariri na maisha halisi
  9. S

    Hakuna nchi iliyopata uhuru ki-ligend kama Haiti (saint-Domingue)

    Lkn mwamba hapa kuna matango pori kidogo cause french revolution ni 1789 sasa hao wahaiti wanahojije principles za french revolution in 1770's before even it happened?
  10. S

    Unaweza kujiuliza Vijana Jasiri aina ya Deus Soka wako wangapi nchini? Ni wachache sana ni Hazina!

    Hvi kwanini vijana wanaotetea serikali wanaitwa machawa et
  11. S

    LGE2024 CHADEMA iachane na uchaguzi wa serikali za mitaa na kutangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi

    Ahahahaha, ndo ukweli Mzee, hzo nyingine ni disclaimers tu na face keeping. Kuwa neutral nikusema you are thoughtless and so unemotional
  12. S

    LGE2024 CHADEMA iachane na uchaguzi wa serikali za mitaa na kutangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi

    Principle za discourse analysis zinakataa uanchokizungumza Mzee. There is no Ideological neutral person. We are all linient .
  13. S

    If it happens that Israeli is defeated turned into ashes by Iran, what will happen to bible teachings? Will people still believe what is in?

    A wishful thinking and never will it happen. All will pass but the bible(word of God) shall never come to pass
Back
Top Bottom