Habari za kazi wana JF.Nimekuja kwenu kuomba msaada au kazi kwa yeyote mwenye connections maana jamii forums hakuna kinachoshindikana.Mimi ni graduate wa mwaka huu Civil engineering, nilikua naomba yeyote anayeweza kunisaidia kwa hili , hata internship naweza fanya kwa kuanzia.Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.