Recent content by smttz

  1. smttz

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Safari yako ni tarehe 06.nov?
  2. smttz

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Zínaendelea kwa maumivu na malalamiko
  3. smttz

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Mnaanza kupoteana wenyewe, mmoja amezungumzia running cost umeme na blahblah zingine, if that is case kuwepo kwa madaraja its ok, ili kuwepo na access ya angalau hata sisi wakulima tu afford hizo high class angalau kiwango kingeshushwa hata iwe 100,000 kwa uchache..rejea kuwa tanzania sera huwa...
  4. smttz

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Hiyo gharama sio rafiki, ukweli usemwe....
  5. smttz

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Hii inaonesha taswira halisi ya ukosefu wa weledi katika mipango na hili ndio tatizo kuu la nchi zinazoendelea, serikali badala ya kutoa huduma kwa wananchi wao wanawageuka kuwa wafanyabiashara,na wala hawaoni vibaya...Acha wapande wao na familia zao
  6. smttz

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

    ""Hamtakua radhi nao mpaka mfate mila zao...(Quran)"" Ukilijua hili na kulizingatia utaishi kwa raha na Amani, kwa yeyote mwenye kuamini.
  7. smttz

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

    Kwa mitazamo ya namna hii... hii nchi bado saaana!!! Elimu itangulie kabla ya, 1. Kauli zetu 2. Matendo yetu
  8. smttz

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wana jukwaa....??

    Ngoja tuone nini kitatokea, ila kwa shinikizo hilo ...siwezi
  9. smttz

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wana jukwaa....??

    Kwa Kweli
  10. smttz

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wana jukwaa....??

    Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri. Swali fikirishi mantiki ya kushikiza hivyo,inatokana na nini?
  11. smttz

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Sio kweli
  12. smttz

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Sio kweli
  13. smttz

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Thread yangu imetoweka ghafla, nimeshauri serikali itoe tamko juu ya Nyongeza ya Mshahara, tetesi zilikuwa kwamba ongezeko litakuwa linafanyika kwa kila mhusika kulingana na mwezi alioajiriwa. Hilo limeonekana kuwa kweli mwezi huu. Kutokana na wengi kutokuona Annual Increments.
  14. smttz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

    Regardless CHADEMA wanafanya haya kwa maslahi yao binafsi au laah,! Ila kwa nchi hii safari bado ni ndefu sana kupata ukombozi, ni kama hawa wanajiita wasomi wamelishwa unga wa ndele. Watu wametawaliwa na ubinafsi, unafiki, kujipendekeza kuonekana, (In islam we call it riyaa) hii ni nusu ya...
  15. smttz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

    Ipo clear tu... ” au unahitaji ufafanuzi zaidi. Sipo CCM wala CHADEMA
Back
Top Bottom