Recent content by SmilerTz

  1. S

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Mikopo inaumiza sana yaani Kama mtumishi ni heri ujiwekee malengo Yako tu kias ambcho ungekatwa baada ya kuchukua mkopo, ni heri ukawa unakatwa Moja kwa Moja iwe Kama umekopa na wakuwekee kwenye account Yako nyingne ambayo umejiwekea malengo Yako ukifanya hiv Miaka miwili maisha yanaenda
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kibiashara ( biashara ndogo)

    Hiyo ndio Tanzania yetu unachokisoma na utakachofanya badae ni tofauti anyway sio vibaya kujishughulisha huku anasubir ajira Kila la kheri kwake
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kuanza project ya kuku Machi, 2023

    Weka bidii utafanikiwa,Kila la heri kwako
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msiba kwa wanaofanya biashara ya kuagiza vitu China

    Uko sahihi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mikopo ya mtandaoni

    Utulivu,kufikiri na ushauri unahitajika kabla hujafanya chochote
Back
Top Bottom