Recent content by smiler705

  1. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Nahitaji usaidizi wenu zaidi, ushauri na mawazo yenu nayahitaji zaidi, karibuni
  2. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Sawa mkuu, nitawafuatilia pia
  3. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Nimeyapokea mkuu na ni mawazo mazuri pia, Asante sana,nitayafanyia kazi pia
  4. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Sorry jamani, last night cm ilizma chaji ghafla nkaamua nlale
  5. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Nikiwa kwenye websites nyingine nataka ku apply zinaleta Soo many datas, nashindwa kujua nifanyaje, maybe nakoa procedures au vipi, Ili simalizi , znakua snajirudia, help me wana JF
  6. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Nawasubiri, I need their help
  7. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Shukurani mkuu, ngoja Meneja Wa Makampuni aje anisaidie
  8. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Shukurani mkuu, ngoja nirekebishe, thanks again
  9. smiler705

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na Msaada wenu kuhusu Scholarships Application Vyuo vya nje

    Hello guys, habari za humu ndani wana JF. Mi ni binti, nimemaliza form 6 mwaka huu na namshukuru Mungu nimefauru vizuri, nimepata dv 1 ya point 7 HGL, na niliapply vyuo baadhi na nimechaguliwa vyote including Udsm Lakini napenda nipate scholarship nisome vyuo vyo nnje hasa nchi za ulaya...
  10. smiler705

    JamiiForums Tanzania Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

    Eeh kwahyo kwenye Ajira ni ngumu Tena
  11. smiler705

    JamiiForums Tanzania Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

    Aha! Asante unaweza ukawa unafahamu kiundani zaidi labda hyo course maana me najua inahusu usimamizi wa afya nimejaribu kufadilia ada yake hata sijaiona
  12. smiler705

    JamiiForums Tanzania Bachelor of health system management mzumbe na bachelor of arts with education UDSM

    Jamn nisome course Gani hapo maana sielewi kabsa
  13. smiler705

    JamiiForums Tanzania Chunusi zinanisumbua mwenzenu

    Me msichana
Back
Top Bottom