Recent content by Smile R

  1. S

    Scientist International Organization

    Jamani wa ndugu.mimi pia nimetumiwa hiyo email. Na nikapata ushauri kua niende KCB kufuatilia kama kweli hiyo org ipo. Nilipo fika wakajaribu ku icheki. Hiyo account imefunguliwa march this year huko mwanza na watu wawili, wakidai kua ni NGO inayohusika na mambo ya sec school, pia wanadai wana...
  2. S

    Nikiwa na mke wangu jogoo hawiki ng'o; nje anawika sana mpaka asubuhi

    wivu wa nini sasa, mbona wewe unaenda? so yeye avumilie tu wakati wewe ndo unashida na huvumilii. Kweli dunia imechafuka. Acha uzinzi, mrudie muumba wako, nenda kwenye maombi kama kweli unataka kuponya ndoa yako. Vinginevyo mtaleteana to mi ugonjwa badae. Kwani watu sikuhizi hawana dini jamani...
  3. S

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Mimi ninako kamoja, pia nitakua tajiri???au mpaka uwe nazo nyingi?
  4. S

    Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    Usiwe na wasiwasi, jitulize, na usipende kuanzisha mahusiano ambayo unajua hayana feature yoyote, Cause hayo yatawakimbiza wale ambao wapo serious. Pia usisahau kusali
  5. S

    Things To Consider Before Saying I Do

    Only by God's grace
Back
Top Bottom