Nimefungua kiosk sehemu hapa mjini Dar es Salaam nahitaji hizi friji ya Pepsi na Cocacolla milango miwili.
Msaada mwenye uelewa wa upatikanaji wa haraka na njia iliyokua haina utapeli anisaidie ili tusonge mbele kupigana na hivi vita vya maisha.
Ahsanteni nawasilisha kwenu wadau
Huwa waja wote tunajua kuwa wakumtegemea ni Mola lakini M.Mungu katupatia viongozi wa kuuongoza. Katupatia matajiri wa kutupa ajiri za kuendesha maisha yetu ya kila siku
Hawa wote wanamtegemea Mungu lakini haiwapasi nijuavyo mimi kuwa si uungwana kujisifia kwa wananchi na wafanyakazi wao kuwa...
Duka langu limevunjwa lipo maeneo ya Muembechai msikitin na nimeibiwa simu nyingi na nyingine zilikuwemo zina lock, tunaomba msaada wenu.
Sim zinaitwa GHT ni touch screen rangi nyeusi
0713443055
Duka langu limevunjwa lipo maeneo ya Muembechai msikitin na nimeibiwa simu nyingi na nyingine zilikuwemo zina lock, tunaomba msaada wenu.
Sim zinaitwa GHT ni touch screen rangi nyeusi
0713443055
kwanza hatustahili kuwaponda majirani zetu ambao wameiacha Tz nyuma sana.
Na kwanini mabenki yasichukue hatua na serikal ikaingilia kati?
Serikali inakosa pesa nyingi sana ambazo kodi tunastahili kulipia tukituma mizigo.
Nina biashara yangu nimeanzisha ebay lakini nimesikitika sana baada ya wateja wangu walioko ulimwengun kote kulalamika kuwa hawawezi kunitumia pesa kupitia paypal na ebay wakaweza kunipatia pesa hizo.
Nilipoangalia kwenye orodha ya nchi ambazo paypal inafanya kazi ya kutuma na kupokea pesa Tz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.