Recent content by SMB Group

  1. S

    JamiiForums Mwanadamu huzaliwa na huishi katika ulimwengu huu kwa kipindi fulani kisha hufa

    Na Saidi Mbondela. Katika Mambo unayoyajua bila shaka ni kwamba Mwanadamu huzaliwa na huishi katika ulimwengu huu kwa kipindi fulani kisha hufa. Hatua za awali za ukuaji wake hua ni tegemezi kwa wazazi au walezi wake, hivyo hua hana majukumu makubwa. Lakini kadri siku zinavyosonga mwanadamu...
  2. S

    JamiiForums Brainstorming

    UJUMBE WA TATU Na Saidi Mbondela. Salaam, Shukrani kwa mara nyingine tena kwa kutumia muda wako kusoma ujumbe wangu, wewe ni mtu muhimu sana kwangu na nayathamini sana maoni yako. Wapo wadau wanaoshauri niandike kuhusu kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine kutokana na haja iliyokuwepo...
  3. S

    JamiiForums Brainstorming

    UJUMBE WA NNE 06/04/2019 Ankara-Turkey. Na Saidi Mbondela. Salaam. Karibu tena katika Makala zangu, leo tupo wiki ya nne na nilikuahidi kua siku ya leo nitakutajia juzi unazohitajika kua nazo nje ya fani yako unayosomea/uliyosomea chuo kikuu. Juzi hizo zitakuongezea sifa za kuweza kuajirika...
  4. S

    JamiiForums Brainstorming

    UJUMBE WA TANO. Na Saidi Mbondela. Ankara/Turkey 13/04/19. Habari, Ujumbe wangu wa leo utakua unakamilisha awamu ya kwanza ya jumbe zangu kwa vijana. Awamu hii nilijikita kutoa maelekezo kuhusu namna ya kuweza kuajirika kwa urahisi katika zama hizi zilizojaa mabadiliko ya kila namna katika...
Back
Top Bottom