Kama ni kweli, Magu atakua amewasaidia saana wachaga kujikita kwenye self-employment. Nyerere aliwafanyia hivyohivyo kwenye elimu, wachaga wakajenga private school (wakaziita shule za wazazi). Leo, zaidi ya %50 ya private school zote TZ, ziko kanda ya kaskazini hususani, Kilimanjaro.
Si-shabikii kitendo alicho fanya huyu binti; lakini, she was forced kufanya mapenzi na mtu asie mpenda na hatakama unamjua, ni sexual assault. Wakina dada wendi especially vijijini wana jiua kutokana na tabia hii ya wazazi/mila kulazimisha ndoa. Tuna takiwa kubadilisha mila zetu ziendane na...
Mr. P naomba niweke mambo sawa kidogo. Wawindaji, wafugaji, wauza nyama, wanaongoza kufanya the "oldest profession" nk... makabila yote haya niwachapakazi. Tena, professionals. Swali la kujiuliza, nilipi kati haya makundi/makabila yana uwezo wa kutoa Kiongozi bora (Good leadership qualities)...
Tatizo kubwa la serekali yetu nikutokusema ukweli hata pale wanapo fanya jambo jema. It is ok to say, we are still working on it. Kwanini inajiaibisha? What a shame!!
Tumesha kua donor country. Hii product, Tundu, iliyo tokea singida inamaket saana huko ulaya na marekani. Hata bunge letu kila siku hufuatilia mafanikio ya hii kitu kutokea singida; Otherwise, mambo hayaendi.
Mpaka 2020 ifike, possibility ya TZ kuwa donors wa demokrasia ni nzuri saana. 🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.